Mara: Adaiwa kumuua aliyemuondoa harusini kwa kukosa zawadi

Mmmh kweli makatili duuh!

Na hawako romantic kabisa, ni ubabe kwa kwenda mbele

Huyu wa job yeye kila siku anamzibua mke wake mingumi na miteke, kisa mke kuhoji jamaa kurudi saa 9 usiku every day

Halafu linajisifu hapa job ukatili wake ptuu
Mambo ya nyumban kwa watu umeyajuaje?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom