funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,409
- 31,916
Naona wanaanzisha vita vya mawe huku wapo kwenye glassNi kweli kabisa
Naona wanaanzisha vita vya mawe huku wapo kwenye glassNi kweli kabisa
Mkuu umejibu kama ndio wewe!KANISA nianzishe na nijenge mimi katika kiwanja changu ncha urithi then uniletee hoja ya elimu eti sijasoma nyooo wewe mwenye elimu yako mbona hata nursery school umeshindwa kuanzisha we vipi. unapokuwa kiongozi mkubwa sio lazima kusoma sana kwani ukisoma sana huwezi kuwa kiongozi mzuri(anaebisha athibitishe). nina sifa za kuwa mkuu huku coz nina uzoefu wa miaka mingi na Enjili. in short sitoki na sikubaliani na hoja yenu ya elimu.