Sisi wa Afrika tutaibiwa tu popote pale maana ss wenyewe, tunalindana tunafundisha na tunasaidiana, kufanya maovu, kwa nini?.......................... Taasisi zetu ndizo mbaya, hata kanisa zetu zimeingiliwa na wakubeti ambao, wanauhakika wa kushinda mikeka yao bila kuchaniwa na wahindi, wakuu[emoji23] ,!!!! kwao haichaniki taasisi ndizo mbovu tusimulaumu huyu, namnuku baraka Obama alipo fika katika ardhi ya watu weusi akiwa Ghana alisema maneno haya "Africa is not need strongmen Africa is needs strong institutions, "maneno haya wakuu, mtu mwenye upeo aling'amua, kweli sisi wa Afrika tuna taasisi mbaya ambazo, zinahifadhi watu wazandiki na waoovu kweli kweli, kweli mm nataka muniambie kweli hawa, wachungaji na waumini wa KKKT hawakuwahi kutambua hilli???..................................................... maana nakumbuka baba aliwahi kuniambia Hivi "mwanangu kaa na mtu umjue tabia yake" swali inaamaana walikuwa hawajui duh!!??......................... [emoji117] [emoji136] [emoji128] pia na sisi tembea kwenye taasisi nyingi za kiafrika wapo watu ambao hata kiti walicho kalia hakiwa wafai yaani kinalalamika, kinalia lakini nani atakisaidia ss wenyewe ni wale wale, ushauri wangu jinsi walivyo mwamini wakampa nyadhifa Kubwa hivyo basi wa muite wakae naye, na wakae mezani yataisha maana migogoro yote Duniani, hufanyikia mezani kwa njia ya maridhiano mema asante na omba kuwasilisha jamvini hiki nilicho ivisha tusakule wote