Wakati nilisema akipatikana hg tu kila kitu kitafumukaMambo yanazidi kufukuliwa.. Tutayona mengi sana kwenye kesi ya marehemu Erasto...
Ndio habari ilivyosema, aliyekamatwa ni mke na sio dada. Sioni pakurekebisha.Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi
Mwenye post alishaona na kurekebisha asante kwa kujaNdio habari ilivyosema, aliyekamatwa ni mke na sio dada. Sioni pakurekebisha.
yeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsiNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
[emoji106]Mwenye post alishaona na kurekebisha asante kwa kuja
Hahaha dah!Mwenye post alishaona na kurekebisha asante kwa kuja
unapokuwa mjinga lazima na action zako ni za kijinga tu. Watatiwa nguvuni kama sisimizi shimoniWAuaji wa kibongo huua bila kupangilia
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................Ni August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.
Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji
ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.
Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na
kayaongea haya;
"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwa hiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkata mke wa marehemu wa Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwaajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita."