- Thread starter
- #541
Sikuwa nimefikiria hivyo. Hakuna ajuaye bali ni yule tu aliyepewa siri nyeti za uchunguzi wa Mchanga na Makontena.kwenye hao maofisa LISU HAKUWEPO KWELI?
Sikuwa nimefikiria hivyo. Hakuna ajuaye bali ni yule tu aliyepewa siri nyeti za uchunguzi wa Mchanga na Makontena.kwenye hao maofisa LISU HAKUWEPO KWELI?
Yani we kijana unajipa matumaini utafikiri mgonjwa wa ukimwiMuda si mrefu mkono wa sheria utawapata tu.
My phone number contact me humuhumu katika private inbox. Unitumie yako then nitakujibu na Whatsap. Kie ninachokitetea ni jambo la kukusaidia wewe na mimi. Tuache uchama chama.Yani we kijana unajipa matumaini utafikiri mgonjwa wa ukimwi
Tatizo humu JF mnabadisha id mtakavyo na hakuna jinsi kuwapata watu wa style yako,maana najua mda unakuja na utasema.
Sorry can you submit your phone number kama unajiamini kwa hiki unachokitetea......?ili mda ukifika tukukumbushe kwa nia njema kama watz.
Yani nakutamani kama mchepuko,plz naomba ni pm ili mda ukifika niku up-to-date, coz u seems u'r still in darkness.Wengine hawajui hivyo mkuu.Wako gizani tu.
Dah vyeti fake tena?Wengine walikuwa na vyeti feki , si inakuwa wakati Wa Vasco dagama
Mkuu nenda kalale. Usiku mwema. Kesho kazi .Yani we kijana unajipa matumaini utafikiri mgonjwa wa ukimwi
Tatizo humu JF mnabadisha id mtakavyo na hakuna jinsi kuwapata watu wa style yako,maana najua mda unakuja na utasema.
Sorry can you submit your phone number kama unajiamini kwa hiki unachokitetea......?ili mda ukifika tukukumbushe kwa nia njema kama watz.
Ni kutokuelewa na kukosa ufahamu.kama kuna wapumbavu basi ni wale wote ambao hawana la mna ila kila hoja wao ni CCM.
According to your argument level you can't help anyone labda street guyz au wa vijiwe vya kahawa.My phone number contact me humuhumu katika private inbox. Unitumie yako then nitakujibu na Whatsap. Kie ninachokitetea ni jambo la kukusaidia wewe na mimi. Tuache uchama chama.
Kabisa mkuu.Jela na viboko ni zawadi yao, kuwaacha ni dhambi itatutafuna hadi vizazi vijavyo. Mfano unahitajika ili watu wasione ni mbio za zakafuni.
Mkuu ingependeza sana kama maelezo haya yange ambatana na majina ya wale jamaa zetu wa TMAA walio kwenda Japan na kupinga mapendekezo ya Mzee Bomani. Ikishindikana kuyapata kabisa basi hata hao ambao Rais amewasimamisha ingekuwa vema tukawa tambua . Tunaishi na fisi mijini.Wana JF kuna mambo mapya yanayozidi kujitokeza tangu rais Magufuli awasimamishe maafisa wakuu wa Taasisi ya TMAA inayosimamia MADINI ambayo pia ilimfanya rais Magufuli kumvua Uwaziri Mh.Muhongo kama Waziri wa Madini kwa sababu zilizo wazi.
Inavyosemekana ni kuwa mwaka wa 2009 TUME maalumu iliyojulikana kama PRESIDENTIAL MINING REVIEW COMMISSION,iliyoongozwa na JAJI Mark Bomani. Tume hii ilitoa MAPENDEKEZO kuwa SMELTER ijengwe hapa nchini.
Lakini cha kushangaza ni kuwa maafisa hao wa TMAA wakawa tayari wamekuwa COMPROMISED na Makampuni husika yaani WAKAHONGWA ili WANAYAMAZISHE matakwa ya Tanzania Kuwa na UWEZO wake na TEKNLOJIA HIYO.
Katika mbinu zao za kuzima ripoti na mapendekezo ya tume TMAA, miaka sita iliyopita hivi wakaanza mipango ya KUYAMWAGIA MAJI mapendekezo YOTE ya Tume ya Jaji Mark Bomani ili KUIDHOOFISHA kabisa
Na mwishowe KUZIZIMA kabisa NDOTO za Watanzania kuwa na mitambo yao ya SMELTER.
Na hivyo KUTUSALITI sawasawa ili tuendelee KUIBIWA VIZURI na hayo Makampuni.
Mwaka wa 2011 MAAFISA wa TMAA walitembelea miji ya TOKYO na SAGANOSEKI Copper concentrate Smelter nchini JAPAN ili WAJIONEE wenyewe TEKNOLOJIA hiyo na jinsi nchi yetu inavyoweza KUJIJENGEA Smelter yake yenyewe.
Katika safari yao ilikuwa pia wajue GHARAMA za UWEKEZAJI/UJENZI na uwezo na gharama za uendeshaji nchini.
Ikikikumbuka kuwa tume ya Jaji Mark Bomani ilikuwa pia imeenda huko kabla wakati ikiandika na kuchukuwa DATA, ili kutayarisha ripoti mpya ya sheria ya MINIMG LAW/Sheria mpya za MADINI.
Mwaka 2011 TMAA nao wakatoa ripoti yao iliyojulikana kama:
"A STUDY on VIABILITY to CONSTRUCTING a COPPER Concentrate SMELTER in Tanzania"
Ripoti yao ILIPINGA VIKALI mapendekezo ya Tume ya Jaji Bomani.
Na hivyo Kuwaachia wezi field day ya kuiba mchanga wetu WATAKAVYO na WAPENDAVYO. Maana tayari TMAA walikuwa wamekuwa compromised/WAMEHONGWA.
Kwa wale wanaolaumu uamuzi wa Rais Magufuli na kupendelea Makampuni wanaposikia haya si WAONE HUZUNI kuwa hakika TULIIBIWA Vya KUTOSHA na IMETOSHA?
Na Tanzania INAWEZA kabisa KUJIJENGEA yenyewe hiyo MITAMBO.
Maana NIA TUNAYO na UWEZO TUNAO tukishikana pamoja na kushirikiana kama Watanzania
HAKUNA lolote ambalo Tanzania HAITALIWEZA KULIFANYA.
Kwa Maafisa kama hawa wa TMAA WALIOTUSALITI wanastahili kuwa JELA bila HURUMA.
Hatuwezi kuwa taifa la OMBAOMBA wakati kila RASLIMALI tunayo.
Na hali watu wachache wenye tamaa wanataka tubaki Maskini huku wao wakijenga magorofa
TUNAKATAA kama Watanzania.
Mungu IBARIKI Tanzania na Rais Magufuli.
Chanzo: The EastAfrican.
Ha ha haaa, wenye akili zao kichwani wasiokuwa na mchanga wanapelekewa mchanga ili smelter zijengwe , sisi wenye mchanga kibao hatujengi chochote tunasafirisha macontainer ya mchanga kuelekea Japan, ama kweli wajinga ndio waliwao na tunaliwa haswa!Hizo smelter za Japan zinapata wapi mchana?!.
nawezekana kabisa hao jamaa ni kipisi tu kinachoonekana juu cha iceberg kuubwa lililojificha baharini, nani anamiliki madini hapa nchini na nani alipokea 10 pasenti kusaini mikataba mibaya, tunataka waje hapa tuhangaike nao kwa sababu hao ndio wanatoa kinga kubwa mashirika ya kibepari kuliko hata mikataba na sheria zilizopo.Mkuu ingependeza sana kama maelezo haya yange ambatana na majina ya wale jamaa zetu wa TMAA walio kwenda Japan na kupinga mapendekezo ya Mzee Bomani. Ikishindikana kuyapata kabisa basi hata hao ambao Rais amewasimamisha ingekuwa vema tukawa tambua . Tunaishi na fisi mijini.
Wacha kujitoa akiliUngeniita Pro Tanzania ningefurahi sana. Vyama huja na kwenda na hata kubadilika bali nchi hubaki. Kwa nini tusifikirie kama Watanzania waksti tunaibiwa waziwazi?
Akili zako hazina tofauti na BashiteDawa ni Watanzania kuondoa kuabdu vyama na badala yake WAPENDE TAIFA lao bila kujali wewe ni wa chama gani. Hiyo ndo dawa.
Na kwanini tuwaamini ccm walewale waliotudanganya kwa miaka 50?hao hao ndio walioshiriki kupitisha miswaada ya sheria mbovu za madini bungeni wakipiga makofi na vigeregere?Hilo ndo swali kwa nini tumwamini muwekezaji?
Mwekezaji hana makosa,wenye makosa ni hao waliopewa madaraka na wakayatumia vibaya,wawekezaji ni muhimu katika kukuza taifa ambalo bado liko nyuma kimaendeleo kama TZHilo ndo swali kwa nini tumwamini muwekezaji?