Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,704
Reaction score
7,409
Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.
 
Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini.
Itisha mdundiko usherekee basi.
 
Mbona mnawashwa washwa sana nyie Lumumba!!

Mungu mrejeshee Lisu hali yake mapema.
 
Back
Top Bottom