Mkuu, yaani sa100 ukimcheki tu hv kwa macho unaona taswira ya mtu mwenye upeo mdogo!Mi huwa naishia kucheka tu ninapoona michadema inahangaika namna hii. Anachofurahisha huyu mama ni kwamba huwa hatumii nguvu nyiiingi kujibishana........anajipigia kwenye mshono, anatulia. Minyumbu tangu jana viti havikaliki. Hivi, kwa akili zenu, mnafikiri hajui anachokifanya?!!!!!!!! Kwamba nyie nyumbu ndo wajuaji yaani, au sio?!!😃😃😃
Ngoja nitaje nione kama hiyo ya sita wanayo kweli.Taarifa za jeshi kujimilikisha nafasi ya sita ni za muda sana
"Kujimilikisha"Ngoja nitaje nione kama hiyo ya sita wanayo kweli.
US,Russia, Ufaransa, uingereza ujerumani, China , India,Japan, Korea 2, Turkey, Iran, Israel.
Kumbe hata 100 Bora hawapo bwana!
🤣🤣🤣🤣🤣Labda akishaisoma atabubujikwa na machozi 🤣.
Ila anakuhenyeshaaaaa, uongo?!! Mnajitahidi weeeeee lakini wapiMkuu, yaani sa100 ukimcheki tu hv kwa macho unaona taswira ya mtu mwenye upeo mdogo!
Akizungumza nje ya alichoandikiwa ndio kabisaaa unaona kiazi hiki!.
Slaa hakutangaza kujiuzulu bwashee,Dokta Slaa naye alitenguliwa kabla ya kuvuliwa ubalozi?
Hakika hii nchi vilaza ni 99% ya wananchi wote.
Kwa hiyo kama hakutangaza? Kutangaza kuwa unajiuzulu ni kosa?Slaa hakutangaza kujiuzulu bwashee,
Umesema kweli vilaza ni 99% ya wanainchi wote
Washamba sana hawa viongozi wetu😃🤣🤣
Unamyonga mtu aliyekwisha kufa!
Mfano mzuri sana huo.
Mimi ni Mkristo lakini naamini na wapo Waislamu ambao ni smart sana upstairs wakati mwingine kutuzidi hata sisi Wakristo. Sema kwa sasa tu ndio tuna bahati mbaya kwa viongozi wetu both Wakristo na Waislamu!Ushawaho ona wapi waislam wakawa na timamu
Kaisome barua ya Pole Pole.Sema kwa Polepole alitakiwa kutoa tamko tu la kuridhia ombi lake la kujiuzulu! Na kama asingetoa tamko la kumkubalia, basi angetoa tamko la kumuondolea hadhi yake ya ubalozi kama angeona anafaidi sana.
Na siyo kumfukuza kazi mtu ambaye alishaandika kitambo barua iliyosambaa kwenye mitandao, ya kujiondoa kwenye hiyo nafasi yake.
Hakujawahi kuwa na viongozi waislam wenye akili, wamejaa uswahili na ujqnja ujanja tuuMimi ni Mkristo lakini naamini na wapo Waislamu ambao ni smart sana upstairs wakati mwingine kutuzidi hata sisi Wakristo. Sema kwa sasa tu ndio tuna bahati mbaya kwa viongozi wetu both Wakristo na Waislamu!