Mapya ya ‘awamu ya sita’!

Hadhi ya ubalozi ingeweza tu kuondolewa bila hayo mambo yake kutengua uteuzi wa mtu ambaye alishaacha kazi.
Bwashee wangesema tunakuvua tu ubalozi ingekuwa lazima wataje na sababu, sasa kidiplomasia na kiprotokoli ndio wanaanzia kwanza kutengua kile kitakachopelea kuvuliwa hiyo hadhi

Yaani ili mimba itungwe ni lazima manii yaingizwe ukeni
 
Ninaweza kukubaliana na wewe iwapo utatueleza wewe una uweledi gani na masuala unayoona Serikali na wasemaji wake wamekosea. Kama HAUWEZI kutupa uweledi wako, basi sisi wenye akili tunabaki na maelezo yaliyotolewa na Serikali.
 
Kitendo cha kumtengua (siyo kumuondolea hadhi) aliyejistaafisha ni sawa na kumchukua marehemu kutoka monchwari na kwenda kumnyonga.

Serikali hii ni kama pilau lenye mlenda
 
Inateua mpaka marehemu, na anatakiwa kufika ikulu kuapishwa!
 
Huu uzi unaonesha kuwa wewe ni kiazi hujui nini maana ya ukuaji wa uchumi
Hajui tofauti ya ubalozi na hadhi ya ubalozi

USSR
A very crap from low brain. Ignore this creature with quoted comment.

Polepole alito notisi ya kujiondoa kwenye nafasi, wala hakuomba apumzishwe, halafu baadaye mtu anainuka na kusema anamfukuza!! Hata kama ni kukosa akili, haifikiriwi kuwa kwa kiwango hiki! Kuna watu wameamua kuaibisha mamlaka. Yawezekana kuna chawa fulani tu hapo kati alitengeneza hiyo statement kwa kutumia jina la Rais.
 
Mkuu @ Nyani Ngabu,

Fuatilieni kujiridhisha kama taratibu za kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya mtumi wa umma zilifuatwa kama hazikufutwa serikali ifunguliwe mashitaka kwa ukiukwauji


 
hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.

Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno
Na huu ndo uhalisia
 
Kauli ya Tanzania kuwa na uchumi bora kuliko Marekani ni sawa na kumlinganisha kilaza aliyepata maksi 20 mtihani uliopita akapata 22 mtihani huu na kipanga aliyepata maksi 96 akapata 94 mtihani huu....haha!
 
Habishani maana akifungua mdomo anaongea upupu wa hali ya juu sana. You can't argue if you lack content. Au hujui kamanda?
 
Hawa wanayo iongaza hii nchi ndo wale waliokuwa wanashindwa kusolve maths
wanavumba macho wana pick jibu wavivu kusoma sheria na kufatilia mandishi kwenye kitabu

kwahiyo tutulieni tunaendeshwa na
kondoo tena wa bwana hawana baya maskini wa mungu
 
Hiyo ni sawa na kutaka kuua maiti !!!
 
Ni kama tu kumlaani maana kufukuzwa ni kama laaani, lakini je hiyo laana itampata
 
Bwashee wangesema tunakuvua tu ubalozi ingekuwa lazima wataje na sababu, sasa kidiplomasia na kiprotokoli ndio wanaanzia kwanza kutengua kile kitakachopelea kuvuliwa hiyo hadhi

Yaani ili mimba itungwe ni lazima manii yaingizwe ukeni
Dokta Slaa naye alitenguliwa kabla ya kuvuliwa ubalozi?

Hakika hii nchi vilaza ni 99% ya wananchi wote.
 
Kitendo cha kumtengua (siyo kumuondolea hadhi) aliyejistaafisha ni sawa na kumchukua marehemu kutoka monchwari na kwenda kumnyonga.

Serikali hii ni kama pilau lenye mlenda
🤣🤣

Unamyonga mtu aliyekwisha kufa!

Mfano mzuri sana huo.
 
Mkuu @ Nyani Ngabu,

Fuatilieni kujiridhisha kama taratibu za kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya mtumi wa umma zilifuatwa kama hazikufutwa serikali ifunguliwe mashitaka kwa ukiukwauji
View attachment 3434885

View attachment 3434888
Nani aifungulie mashtaka serikali?

Polepole kaacha kazi kwa hiari yake.

Tunachoshangaa ni kiwango cha upumbavu kinachoonyeshwa na serikali.

Huyu Rais aliwahi kuteua mtu ambaye alishakufa!

Huyu Rais aliteua katibu mkuu bila hata ya kumjulisha kabla ya kutangaza uteuzi wake. Jamaa akaona kwenye runinga kuwa kateuliwa kuwa katibu mkuu!

Sasa hii nayo anatengua uteuzi wa mtu aliyeacha kazi takriban mwezi mzima uliopita!

Just dumb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…