Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Ndege ilizuiwa kwa sababu tuna deni. Ilifanyiwa garnishment. Njia pekee ya kuirejeaha ndege ni kulipa deni au kukata rufaa International Court of Arbitration (ICA), a court of ICC; na tukashinde kesi. Makao makuu ya ICC yapo Paris Ufaransa. Kama wana sheria wa Tanzania wanaenda Canada hawaendi kubishania kesi; wanaenda kulipa deni. Kama wanataka kukata rufaa waende Ufaransa sio Canada
Magufuli kusema amemuandikia barua waziri mkuu wa Canada ili kesi isikilizwe haraka ni uongo. Waziri mkuu wa Canada hawezi kuingilia muhimili wa mahakama. Canada sio kama Tanzania ambapo Rais anawaamuru majaji kujukumu kesi haraka haraka bila proper due process. Rais kazingua hapa.
Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!
Kichwa cha habari na huu upumbavu wenu huko ufipa ni havina uwiano kabisa aliyekutuma muambie ujaribu tenaNdege ilizuiwa kwa sababu tuna deni. Ilifanyiwa garnishment. Njia pekee ya kuirejeaha ndege ni kulipa deni au kukata rufaa International Court of Arbitration (ICA), a court of ICC; na tukashinde kesi. Makao makuu ya ICC yapo Paris Ufaransa. Kama wana sheria wa Tanzania wanaenda Canada hawaendi kubishania kesi; wanaenda kulipa deni. Kama wanataka kukata rufaa waende Ufaransa sio Canada
Magufuli kusema amemuandikia barua waziri mkuu wa Canada ili kesi isikilizwe haraka ni uongo. Waziri mkuu wa Canada hawezi kuingilia muhimili wa mahakama. Canada sio kama Tanzania ambapo Rais anawaamuru majaji kujukumu kesi haraka haraka bila proper due process. Rais kazingua hapa.
Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!
Ndege itakuja tu,either kwa kulipa deni au la,but mwisho wa siku itakujaNdege ilizuiwa kwa sababu tuna deni. Ilifanyiwa garnishment. Njia pekee ya kuirejeaha ndege ni kulipa deni au kukata rufaa International Court of Arbitration (ICA), a court of ICC; na tukashinde kesi. Makao makuu ya ICC yapo Paris Ufaransa. Kama wana sheria wa Tanzania wanaenda Canada hawaendi kubishania kesi; wanaenda kulipa deni. Kama wanataka kukata rufaa waende Ufaransa sio Canada
Magufuli kusema amemuandikia barua waziri mkuu wa Canada ili kesi isikilizwe haraka ni uongo. Waziri mkuu wa Canada hawezi kuingilia muhimili wa mahakama. Canada sio kama Tanzania ambapo Rais anawaamuru majaji kujukumu kesi haraka haraka bila proper due process. Rais kazingua hapa.
Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!
Ha ha ha ukomandoo? hapo si maonyesho ya tisa desembaHIVI TANZANIA SI TUNA MAKOMANDO??KWANINI WASITUMWE KUKOMBOA NDEGE ILE KAMA WAISRAELI WALIVYOFANYA UGANDA??
ndiyo, hiyo inafaa.HIVI TANZANIA SI TUNA MAKOMANDO??KWANINI WASITUMWE KUKOMBOA NDEGE ILE KAMA WAISRAELI WALIVYOFANYA UGANDA??
Nyoo makomandoo wa kuwavizia akina lissu tena kwa silaha mchana na kujiita hawajulikani my assHIVI TANZANIA SI TUNA MAKOMANDO??KWANINI WASITUMWE KUKOMBOA NDEGE ILE KAMA WAISRAELI WALIVYOFANYA UGANDA??
Kwani Fatma karume anasemaje?Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!