Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

Kweli watanzania aina ya mleta mada wana haja gani ya kuendelea kuishi?

Wewe shida yako hasa ni nini sasa?
Acha ushenzi wa kuwatakia watu uchuro. Jibu hoja ya kwa namna gani Magu anaweza kumwandikia mtu mstaarabu kama Waziri Mkuu wa Canada barua ya kumtaka ahakikishe mahakama inaharakisha maamuzi wakati kesi iliamuliwa na mahakama ya nchi nyingine. Haya si ndiyo yale ya kufungua viwanda vya kale huku tukidanganywa kuwa ni vipya!!! Mmezoea kuishi kwa uongo, safari hii mmekwama, kwani dunia ni kijiji kwa wenye akili.
 
Ndiyo maana mimi namwamini Lissu na nitaendelea. Asante Mungu kumuweka mtu huyu hai.
Walimkamata TL bure, Walimweka Ndani bila sababu four days na hawakumpeleka mahakamani, Baadae walimtwanga risasi 40, for nothing! Alichokisema TL kwenye Press conference yake ya mwisho na kilichompelekea kutwangwa risasi , ndio hikihiki Lisizonje leo linakikiri hadharani. Very poor of you Sizonje . One day you will pay for this, hapahapa duniani au akhera
 
Mimi sioni haja yakuwepo huwu mtandao wa Jamii Forum...Raisi ametukataza hili jambo tusiliongelee tena mitandaoni ...tuwe pamoja naona hamshauriki tena dah!!
 
Acha ushenzi wa kuwatakia watu uchuro. Jibu hoja ya kwa namna gani Magu anaweza kumwandikia mtu mstaarabu kama Waziri Mkuu wa Canada barua ya kumtaka ahakikishe mahakama inaharakisha maamuzi wakati kesi iliamuliwa na mahakama ya nchi nyingine. Haya si ndiyo yale ya kufungua viwanda vya kale huku tukidanganywa kuwa ni vipya!!! Mmezoea kuishi kwa uongo, safari hii mmekwama, kwani dunia ni kijiji kwa wenye akili.
Bado najiuliza hiyo barua aliandika yeye mwenyeww au ameandikiwa
 
Mimi sioni haja yakuwepo huwu mtandao wa Jamii Forum...Raisi ametukataza hili jambo tusiliongelee tena mitandaoni ...tuwe pamoja naona hamshauriki tena dah!!
amekataza kama wale wasiojulikana walivyokataliwa wasiongelewe?
 
Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration.

Kwa hivyo rais alifanya vizuri kuwatuma wanasheria kwa kuwa; Waliotumwa mwanzo kwenda kuilipia walikwenda watunza fedha na wahasibu tu. Walivyosikia neno Abitration wakadhani ni registration ilizingua. Wakarudi home na kusema wametumwa Tin ya kwetu. Acha apeleke wanasheria wetu ila Mh Chenge na Mkono wawepo kwani hao ndo magwiji wa sheria hizo.
Nasema; aende yeyote bora atuletee dege letu tulimwagie maji Darisalama, na tupicha tupewe ruksa kwenda kupigamo
 
bombadia inakuja wataiweka kwenye mfuko ili isionekane kwenye ukaguzi airport
 
Acha ushenzi wa kuwatakia watu uchuro. Jibu hoja ya kwa namna gani Magu anaweza kumwandikia mtu mstaarabu kama Waziri Mkuu wa Canada barua ya kumtaka ahakikishe mahakama inaharakisha maamuzi wakati kesi iliamuliwa na mahakama ya nchi nyingine. Haya si ndiyo yale ya kufungua viwanda vya kale huku tukidanganywa kuwa ni vipya!!! Mmezoea kuishi kwa uongo, safari hii mmekwama, kwani dunia ni kijiji kwa wenye akili.
Kwanza barau aliandika kwa language gani??? Kwasababu Kizungu nimgogolo ....
 
Kweli watanzania aina ya mleta mada wana haja gani ya kuendelea kuishi?

Wewe shida yako hasa ni nini sasa?

Du mkuu hii ni hatari kweli kweli, mmejipa mamlaka yaki Mungu, kuchagua nani ana haki ya kuishi. Ndio maana wasiojulikana hawajulikani hadi sasa.
 
Back
Top Bottom