Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Ndege ilizuiwa kwa sababu tuna deni. Ilifanyiwa garnishment. Njia pekee ya kuirejeaha ndege ni kulipa deni au kukata rufaa International Court of Arbitration (ICA), a court of ICC; na tukashinde kesi. Makao makuu ya ICC yapo Paris Ufaransa. Kama wana sheria wa Tanzania wanaenda Canada hawaendi kubishania kesi; wanaenda kulipa deni. Kama wanataka kukata rufaa waende Ufaransa sio Canada

Magufuli kusema amemuandikia barua waziri mkuu wa Canada ili kesi isikilizwe haraka ni uongo. Waziri mkuu wa Canada hawezi kuingilia muhimili wa mahakama. Canada sio kama Tanzania ambapo Rais anawaamuru majaji kujukumu kesi haraka haraka bila proper due process. Rais kazingua hapa.

Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!
 
Vitu bora havipatikani ovyo ovyo
 
Kichwa cha habari na huu upumbavu wenu huko ufipa ni havina uwiano kabisa aliyekutuma muambie ujaribu tena
 
Ndege itakuja tu,either kwa kulipa deni au la,but mwisho wa siku itakuja
 
Matter of fact ruling ya Sterling kupewa hiyo fidia ya $38M hakutoka kwenye mahakama ya Canada. Ilitoka kwenye International Court of Arbitration. Sasa hapo waziri wa Canada anaingiaje? Magu aache kufanganya watu. I’m convinced serikali imeamua kulipa hilo deni ili ndege ije na sio kuwapeleka wana sheria. Yaani Magu anataka kutuaminisha kuwa anawapeleka wanasheria na tunapewa ndege bila kulipa kitu! Unbelievable!
Kwani Fatma karume anasemaje?
Habari kama haikutoka serikalini,sterling au kwa mtengeneza ndege itakua ni udaku tu,wacha kuwakilisha matamanio ya nafsi yako kufanya ndio habari
 
117 Reactions
Reply
Back
Top Bottom