Mapya kuhusu ESCROW, Shule ya Prof Tibaijuka yathibitisha kupokea pesa' in good faith'

Mama tibaijuika muogope Mungu..

bill gate, Aliko dangote, na matajiti wengine wakubwa duniani ameshawai kutoa hii pesa kwa mtu binafsi?

bakhresa ameshawahi kuchangia hii hela sehem?

kama kweli rugemalira ana roho nzuri kwa nini asisomeshe watoto yatima kibao wa kwao bukoba?

kwa nini asijenge maabara za kwenye shule za kijijini kwao bukoba?

kwa nini asichangie shule ya vilema like uhuru mchanganyiko etc akachangia shule ya waziri?


kama kweli rugemalira ana roho nzuri kwa nini akumchangia sajuki na wagonjwa wengine wanaokwama kwenda matibabu india?

kwa nini rugemalira achangie shule ya tibaijuka na asichangie ujenzi wa barabara hata za kwao bukoba?


milion 1600 unasema umepewa kama mchango..

mchango milion 1600??? mama tibaijuka muogope Mungu

Kuna kitu kinaitwa ulevi wa madaraka. Ulevi huu ni mbaya kuluko wa gongo ambao huisha baada ya muda. Mtu akilewa madaraka huwa anaona watu wengine wote ni hamnazo. Kuna siku huyu profesa atapokuwa nje ya madaraka atapona huu ulevi na kujuta alivyokuwa anajaribu kudanganya watu.
 
Bring back our money.mim ni mfanyakazi acha mbwembwe wee dogo
Hichi kibibi cha ajabu sana...
 
tena huyu bb kizee angejua watu tulivyo na hasira asingeendelea kujichoresha kwenye media. last year hawa wajinga wa tra walivonikadiria vibaya kwenye kodi yangu ya kibisiness cha kawaida harafu hawa ------- wanazipiga. ki ukweli mnaowatetea labda hamlip kod na km mnalipa ni ile ya indirect ambayo hujui hata umelipa sh. ngap. ccm ina ngoma ngoja ARV ziishe mfe tuingie kazini. wajukuu wenu mliowazoesha vya kunyongwa watajuta kuzaliwa kwenye 4G.
 
Shule imepokea fedha ipi wakati Prof Bibi anadai alilipa deni analodaiwa bank M ili nyumba yake isipigwe mnada? Acheni hizo. Huyu Prof Bib hafai kuendelea kuwa kiongozi wa umma
 
Mama Tibaijuka ni mwadilifu sana

Alete bank statements inayoonyesha hela yote ya escrow ilienda shule, na baada ya hapo hela yote ilienda bank M kulipia mkopo wa shule. Sio anaongea tu maneno matupu bila vielelezo. Hata hivyo tunataka hela irudi ili reculculation ifanyike kama baraza la usuluhishi ilivyoelekeza ya capacity charge halisi ijulikane.
 
Alete bank statements inayoonyesha hela yote ya escrow ilienda shule, na baada ya hapo hela yote ilienda bank M kulipia mkopo wa shule. Sio anaongea tu maneno matupu bila vielelezo. Hata hivyo tunataka hela irudi ili reculculation ifanyike kama baraza la usuluhishi ilivyoelekeza ya capacity charge halisi ijulikane.

Alipewa msaada tu hakuna haja ya kujua matumizi yake na hela ililipiwa kodi kihalali kabisa
 
mtuhumiwa sio bodi ama shule swala ni kiongozi wa serekali kujipatia 1.6bn hapa cheo chake ni waziri huko shuleni mnaweza muita mwanzilishi meneja nk. Mpunga haya mambo angeyaeleza pale kafulila alipotoa taarifa bungeni akaitwa tumbili. Kikubwa hapa au cha maana Rugemalila aseme kuwa hela hiyo haikuwa sehemu ya escrow ila faida ya biashara zake nyingine
 
mambo ya kudanganywa ndio yametuchosha kabisa,walikuwa wapi wasitoe taarifa kuhusu hizo fedha,hiyo shule yake na huyo mama wasituletee mambo yao ya kipumbavu.tukikisanua watatatafuta kwa kwenda utakuwa ni mwendo wa bukinafaso.
 
Back
Top Bottom