nguvukazi mikono
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 490
- 32
kiukweli nimeamini kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wa ccm na chadema ktk siasa wanazofanya,
nimekua nikifatilia kwa ukaribu sana mienendo ya kisiasa kwa upande wa vijana na baado ni dhahiri kua asilimia kubwa ya vijana wenzangu waliopo chadema hawana 1.uwezo wa kujenga hoja
2 kutetea hoja wanazozijenga na
3 kubomoa hoja zile zisizo na masilahi kwao,
wengi wao wakiwa wametekwa kifkra naviongozi wa chama na wanawatumia bila ya wao kujijua, lakini pamoja na hayo nakiri wazi kuna vijana waliopo chadema uwezo wao wa kung'amua jambo ni mkubwa lakini wanashindwa kung'amua kutokana na mustakabali wa chama chao
Mwigulu alipata habari za watu wanamipango ya kumteka, kwanini asingetoa taarifa Police? Huyu Mwigulu ndiye aliyepigiwa simu za vitisho na wabunge wa CDM na alizibaini namba zao, mbona hao wabunge hawajashitakiwa? Mwigulu ni suspect # 1, kama Police watafanya kazi zao kitaalaam
Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida
Mashahidi wanne ambao ni polisi, wametoa ushahidi katika mahakama ya mkoa wa Singida juzi, katika kesi inayowakabili vijana 9, watatu wakazi wa Dar.
Askari hao wametoa ushahidi mahakamani kuwa vijana hao wa Mwigulu ndio walifanya vurugu zilizopelekea mtu mmoja kufa. Imedaiwa kuwa Mwigulu alimtumia Joseph Mlewa kuwaleta wahuni hao kwa gari aina ya Canter ya Michael (Maiko) California.
Habari hizi zinazidi kumporomosha hasa jimboni Iramba.
mungu wakuteka watu? tatizo la taahira kuwa karibu na keyboard ndo hili.cdm ilianza na mungu na itamaliza na mungu.
pigo sawa lakini siyo sawa na la TISS kung'oa kucha bwana.Hii video ya utekaji imeichafua Chadema sana chama kimepata pigo sana.
Poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..Nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..Tusubiri,,time will tell[/Q
Hata waliopigania uhuru wa nchi mbali mbali dunia,Tanzania ikiwemo,walikabiliana na mambo mengi ya hatari kutoka kwa wakoloni.Sasa cha ajabu kwako nini!