Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
falcon mombasa anaweza akawa na majibu.Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Watakosa wateja, wanawake tena wenye mivuto ni sumaku ya kuleta wateja, ndo maana hata angami wengi ni wa kike!kidogo hiyo hoja ya kwanza ina mashiko ila hawalazimishwi kuwa na wafanyakazi wa kike...
Kwaya kwani mle Kanisani?Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
hoja dhaifu mkuuBaada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Kwaya kasikilize nyumbani kwako!kwani umeambiwa abiria ni wakristo pekeeBaada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa maji pekee yake wakati Kilimanjaro Bus unapewa maji, soda, keki na
pipi
3. Hawapigi nyimbo za kwaya kabisa tofauti na mabasi mengine yanayoenda Arusha.
4. Hawana basi zenye choo licha ya kuwa na stika ya SUMATRA iliyoandikwa " Daraja la Juu "
5. Njiani kwenye lunch wanasimama Hotel za kichovu sana.
Wanatoa Maji ya Uhai chupa mdogo tuu.Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;