Mkuu wananchi gani wanaomtaka Lowassa arudi? Lowassa alidhalilishwa au alijidhalilishwa mwenyewe?Ila anachopaswa kutambua ni kuiwa kwa hali ilivyo, wananchi wanamtaka Lowasa arudi, ila wale walioko Bungeni waliomdhalilisha wanaomba usiku kucha asirudi maana itakuwa balaa.
Bongolander ukiwa mwanasiasa au kiongozi njia pekee ya kukuchafua ni kutumia chombo cha habari ambacho mimi na wewe wote tunatumia hivyo kama jicho la kuchungulia kinachoendelea ndani ya serikali na kwa wanasiasa. Vikikaa kimya hivyo kamwe hatutajua.Mkuu wananchi gani wanaomtaka Lowassa arudi? Lowassa alidhalilishwa au alijidhalilishwa mwenyewe?
Bongolander ukiwa mwanasiasa au kiongozi njia pekee ya kukuchafua ni kutumia chombo cha habari ambacho mimi na wewe wote tunatumia hivyo kama jicho la kuchungulia kinachoendelea ndani ya serikali na kwa wanasiasa. Vikikaa kimya hivyo kamwe hatutajua.
Nataka mtu aniorodheshee tuhuma (kwakuwa hakuhukumiwa ila aliwajibika mwenyewe baada ya kuchukua dhamana kama kingozi) maovu ya Lowasa, halafu mafanikio yake akiwa Waziri Mkuu: Halafu anilinganishie na Mawaziri wakuu wengine kashfa/tuhuma zao na mafanikio yao please. Then Mtaelewa namaanisha nini. Hata wewe ukiwa Kiongozi wa siasa leo, ukigusa maslahi ya watu wenye nguvu, inabidi uwe mzuri wa hoja kupona fitina na majungu na hila za kukuchafua kama kisasi. Lowasa anaweza kuwa alifanya mabaya, ila hayawezi kuzidi maovu ya wengine wote, kwakuwa tunajua mabilioni ya pesa yanayopotea au kukutwa mahali na watuhumiwa tunawajua na tuhuma zao ni zaidi ya moja.
Siupendi uovu, ila hali ilivyo kwa sasa ya kisiasa, nachelea kuamini kila kinachoonekana kwenye habari kama kina uhakika na ukweli asilimia mia moja.
OK nimekuelewa, una hoja, basi tuombe Mungu na tutumie kura zetu vema kupata kiongozi tunaekusudia. Ila natumaini Katiba itatupa uwezo wa kumbadilisha kiongozi pale tunapoona tulikosea, isitugharimu na isitupotezee muda na ukiritimba hasa hii tabia ya sasa viongozi kutokutaka kuwajibika.Mkuu ukitaka kujua Lowassa ni nani, nenda ukafukue kesi za ardhi utaona jina lake linatokeza mara ngapi, angalia mali zake ujue amezipata vipi, ndio utaona ni kwanini watu waliona toka mwanzo kuwa hafai. Kiutendaji Lowassa ni very effective, ingawa ana udikteta, lakini kwa ufisadi pia ni namba 1, wanaosema kuwa yeye ni kiongozi aliyechafuliwa, hawajui alikuwa mchafu gani alivyoingia kuwa PM, Mawaziri wakuu waliopita ni Nyerere, Kawawa, Sokoine, Msuya, Malecela, Warioba, SUmaye....hao wote kwa ufisadi ni cha mtoto ukilinganishwa na Lowassa, kama ni hatua lowassa yuko mbele hatua 100 wengine wako hatua tatu.
Hivi kushindwa kuwawajibisha wasaidizi wake ni huruma na upendo??
Huruma na upendo kwa nani?
Kwa maslah ya nani?
Mimi naona kama kutojiamini katika maanuzi na kujaribu kuficha uozo wa uteuzi wake wa wasaidizi wake ambao wengi ni washkaji, wengine vilaza ili wasiweze kumchaleni sana.
Baadhi ya mabosi hasa kama hajiamini hata maofisi anayependa surbodinates waliosmart kuliko yeye.
mi natamani ungeachwa tuUzi huu hauna maisha marefu sana!!!