Mapungufu ya Dini za Wakoloni

Ndio jibu hapo nimekupa juu, Mwenyez Mungu anajua outcome ya ulichochagua, mwenye will ya kuchagua ni wewe, you have trilions of choice na outcome za Choice zote Mwenyez Mungu anazijua.
Anajua pia utachagua nini hata kabla hujazaliwa.
 
Shida huwa si kwenye kukosoa au kuonyesha makosa bali shida ni kwenye hitimisho baada ya huko kukosoa, ndio maana muabudu mizimu atakosoa dini anazoita za kuletewa na kisha atahitimisha kwa kutaka watu waabudu mizimu kwamba ndio kuna ukweli na mkanaji Mungu naye atakosoa dini hizo dini mbili na mwisho atahitimisha hakuna mizimu,Mungu wala miungu.
 
... na mimi pia alinitengeneza na flow chart yangu Duniani aliitengeneza pia na anaijua yote!
🤔
 
Anajua pia utachagua nini hata kabla hujazaliwa.
Ndio ila pia unaweza ukabadili ulichopangiwa, kwenye uisilamu mambo kama haya yanabadili qadar
-kuomba Dua
-kutoa sadaka
-kuwa mwema na tabia nzuri
-kuboresha undugu na ndugu zako etc.

Unaweza ukamuomba mungu akupe mke mwema, utajiri, na mambo mengine, Dua yako ikikubaliwa Ina maana na qadar yako inabadilika. Ama mfano mwengine inawezekana umeandikiwa ugongwe na gari kesho ila ila sababu umetoa sadaka Leo basi mwenyezi Mungu akakuepushia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…