mapumziko ya wik end,baada ya pilikapilika za kazi

mapumziko ya wik end,baada ya pilikapilika za kazi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
968202_Davido_jpg4c26cfbe7ad05ac69dfdb06c8cbd30ca.jpg 968202_Davido_jpg4c26cfbe7ad05ac69dfdb06c8cbd30ca.jpg
 
huyo atakuwa amempa binti wa mganga mimba mganga kaamua kuihamishia mimba jamaa
wenye maumbo kama hayo kwa kula na kujamba mmh...
 
  • Thanks
Reactions: awp
Hilo tumbo lake au kaazima?
 
Shida yote hiyo ya nini? huyu bado kijana kabisa kafuga kitambi ili iweje? hapo hata huko kwa babu hajioni, sielewi anapaliliaje shamba lake! Fanyeni mazoezi jamani lol!

si uwa mnapenda wanaume wenye vitambi,mkiwa mnaamin uwa wanapesa
 
hhahaah..mim naogopa lisije likatupasukia maana limekaa danger balaa
 
kama ni issue ya pesa, basi ujue hapo hakipendwi kitambi ni hiyo pesa tu; hata hivyo huwa hawana pilika pilika kwa ajili ya tumbo-uzembe.

ukiolewa na mtu kama uyo,unaweza pata haki yako ya ndoa kweli?
 
Looh anajifungua lini huyu?
Yaani kwa sie kina mama tukiwa na lile tumbo ikikaribia mwezi wa 9 huwa tunatamani siku ifike tujifungue yaishe maana tabu kila kitu kuanzia kutembea, kukaa, kulala. Sasa huwa nawaza wanaume wenye vitambi na wanaovifuga huwa hawapati shida au wanajiskiaje wakiwa wamekumbatia vitambi kama wajawazito au mimba isiyozalika daaah pole yao.
 
Back
Top Bottom