MAPRODUCER :Hivi uproducer unasomewa?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,580
Naombeni kuuliza hivi hawa maproducer uwa wanasomea hiyo fani au ni ujanja na kipaji tu.

Na kama wanausomea Tanzania ni wapi au chuo gani kinatoa ayo mafunzo.

Sijawahi kuelewa naomba wadau mnipe hiyo experience nahitaji kupata ayo mafunzo.
 
Kwa uzoefu wangu mimi, kati ya maprodyuza 10 ni 2 tu walioingia darasani kusomea hiyo kozi. Wengi wao nikiwemo mimi tumeungaunga tu mtaani. Yaani tuseme labda Mr. T touch ni mshkaji wako kwa hiyo na wewe unakuwa huchezi mbali nae, kuna vitu baadhi anakufundisha huku vingine ukijiongeza mwenyewe.

Kwa mtu ambaye ni shabiki na sio mtaalamu wa muziki ni ngumu kugundua kwamba audio zetu zina mapungufu. Shule inasaidia kwa kiwango kikubwa kuna vitu hutavipata mtaani ila shuleni vipo.

Wajuzi zaidi wataongezea.
 
Safi boss kwa maelezo mazuri
 
Hakuna aliesomea uproducer unasomewa ndo mana kuna tofauti ya beat quality za bongo na mbele...kunielewa cheki kina Dj snake,Seeb, redone etc
 
kibongo kibongo hatusomei thats why kuna siku nilikutana na msela mmoja wa Kenya akanifungua ...audio zetu zina mapungufu kibao unakuta sisi tunasikiliza demo kibao japo zimefanyiwa mixing ..yaan kama hujui ukisikilza nyimbo unaiona iko kali kinyama kumbe bado kuna vitu imekosa
 
jifunze kutumia fl studio na kuzoea makelele ya watu.hapo utakuwa producer
 
Naombeni kuuliza hivi hawa maproducer uwa wanasomea hiyo fani au ni ujanja na kipaji tu.

Na kama wanausomea Tanzania ni wapi au chuo gani kinatoa ayo mafunzo.

Sijawahi kuelewa naomba wadau mnipe hiyo experience nahitaji kupata ayo mafunzo.
kuna wale maproducer walio somea na wale wa kuunga unga,ili uwe uproducer bora lazima usome kwanza, kuna chuo kinaitwa CHUO CHA SANAA BAGAMOYO (University of Arts Bagmoyo) na Cardiff Metropolitan University (Cardiff School of Arts&Design)
 
Tajirimsomi
Ni sehemu chache sana ambazo huwa producer anaulizwa kuhusu vyeti vyake au chuo alichosomea.
Masikio yako ndio kitu muhimu sana ktk production life, the sense of high quality music, naamini pia kila kitu mtu anajifunza lakini kwenye production kuna kitu kinaitwa Sound manipulation hapa ndio pale utakuta ukiskia tu beat/nyimbo flani unahisi hii kama amegonga Duke Tachez, lakini ni kutokana tu na manipulation ulizozizoea kwa Duke, Teknohama, Ngwesa, Faza Palla au Mujwahuki n.k.

Kuna msemo wanasema wazushi, "long time for untalented" mtu asiye na kipaji siku zote itamchukua muda mrefu kujifunza, lakini sio hapo tu, huwezi kuspend maisha yako yote unaskiza Kaswida afu leo uje utake kugonga beat za hip hop at the same time utakuwa whack tu, hapo ndio pale ambapo kipaji na elimu vinaachana. ndio maana wapo maprodyuza wakubwa hawakuingia darasani, na wapo walioingia na kazi zao zikaonekana, hata usome vipi bado utaproduce what you feel.
 
Back
Top Bottom