Mapokezi ya wagombea Urais kisiwani Pemba

ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
3,407
3,799
Haya ni mapokezi ya mgombea Urais wa CCM ndugu Mwinyi na leo mgombea Urais wa ACT wazalendo Maalim Seif huko kisiwani pemba.

Mwenye macho haambiwi tazama.

IMG_20200811_201443.jpg
IMG_20200811_201439.jpg
 
CCM hawajawahi mshinda Maalim Seif.

Huwa ni janja janja kama za 2015

Safari Hiii Maalim Seif awaachi ,nahivi anajua ndo anaelekea kupoteza nguvu za kutembea.

Wazanzibar komaeeni angalau muongozwe na ACT.
 
Maalim Seif Sharif Hamad, hajawahi kushindwa huko Unguja na Pemba. huwa wanadhurumu ndiomaana mikutano yao inachacha kama kisamvu.
 
Nimeona tofauti moja kubwa.

Gari ya Mwinyi ilitumia petrol lakini ya Maalim ilitumia tanga.
 
.Mapokezi ya mwinyi gari Ni nyingi kuliko raia,, ya Act raia pomoni gari mbili. Nguvu ya Uma lazima huu mwaka Tumechoka khaaa!!
 
Back
Top Bottom