Mapokezi ya ndege, Rais Magufuli: Wasiofurahia ujio wa ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner, watapata tabu sana

Asante kwa kunisaidia kumaliza Jumatatu ya leo kwa kucheka..

Sasa ndugu embu nambie unataka ikupeleke wapi na wapi bure? Na ipige kama flights ngapi za bure ndani ya wiki moja? Na unaona huo mwanya utaupata pia?
Na mengine mengi muhimu namezea kuuliza ili utafakari mwenyewe.. kuanzia costs..
kuhusu kutupeleka wapi kuna mtu nimemjibu soma juu utaona ma flights watapanga wenyewe Kama ni 7 au 5 na wananchi tunajiandikisha wote alafu tunaanza route
 
vile mlivyo itwa kwenda kuipokea ndege pale uwanja wa JNIA mkajazana ndo ulikuwa muda wa kuomba kupanda angalau mzunguke ule uwanja mzima, mbona mwendo kasi mlipanda bure, pale pale On the spot ungemuomba mkulu
 
vile mlivyo itwa kwenda kuipokea ndege pale uwanja wa JNIA mkajazana ndo ulikuwa muda wa kuomba kupanda angalau mzunguke ule uwanja mzima, mbona mwendo kasi mlipanda bure, pale pale On the spot ungemuomba mkulu

tatizo nafasi ya kuongea sikuipata kabsa mkuu
 
POLENI NA MAJUKUMU WAHESHIMIWA
kama kichwa cha habari kinavyosema jana wakati ndege yetu mpya aina ya Boeing inawasili kuna wazo lilinijia hivi kwa nini mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanZania Dr johN pombe, magufuli asitupe wananchi wake fursa ya kupanda ndege hii kwa muda wa week moja kama ilivyokuwa kwa mwendokasi wakati zinaingia ili wananchi wake wa hali ya chini kama anavyopenda kusema tupate fursa hii adhimu kabisa KWENYE nchi yetu??

nb: najua post huku sio mahala pake
Ndege yenu wewe na nani?
 
Back
Top Bottom