Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

kila la kheri wazee wa Atown, rock city tunawapa hi. natamani ningekuwepo lkn tupo pamoja.Tunaomba update mtakaokuwepo eneo la tukio kama ilivokuwa leo bila kusahau mapicha
 
Kama vp aje kwa miguu maandamano yaanzie mo-town,kwa mzee ndesa hadi nmc a-city ila tpo pamoja mpaka kieleweke


u
 
Makamanda wa Arusha nawaomba sana msisahau kutoa mwaliko maalum kwa lile kundi/taasisi ya PM7 ili wajionee kwa macho yao namna kamanda Lema anavyopokelewa nyumbani.

Tangu habari za ushindi wa Lema zitangazwe nadhani vichwa vinawauma, hata hapa JF wametoroka hawaonekani kabisa.
 
Natamani ningekuwa Arusha kesho ili kushiriki katika hili tukio muhimu sana kwa chama chetu cha CHADEMA.

People's Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Alutta Continua!!! Continua!!!!


:peace::peace::peace:


Kesho jiji la Arusha na viunga vyake litalindima baada ya mbunge wa Arusha kamanda Lema atakapowasili ndani ya jiji lake la Arusha, mapokezi yataanzia uwanja wa ndege KIA, naomba makamanda tuidhihilishie serikali ya CCM na vibaraka wake kwamba Arusha ni ngome ya ukombozi ya nchi hii.
 
Aman ya MUNGU muumbaji wa mbingu na nchi iwe juu yako lema na juu yenu wana Arusha wote. Ninawatakia mapokezi mema yenye u2livu na Aman tele. sasa pamoja na mbunge wenu jengen Arusha.
 
Mungu awalinde, awape nguvu na ujasiri wa kumpokea kamanda wenu, nasikitika kukosa tukio hili muhimu, nawatakieni kila la heri makamanda.
 
Makamanda wa Arusha nawaomba sana msisahau kutoa mwaliko maalum kwa lile kundi/taasisi ya PM7 ili wajionee kwa macho yao namna kamanda Lema anavyopokelewa nyumbani.

Tangu habari za ushindi wa Lema zitangazwe nadhani vichwa vinawauma, hata hapa JF wametoroka hawaonekani kabisa.

Mkuu Mwita Maranya,hili kundi nadhani sasa hivi liko uchi kwa Sangoma kumuombea mabaya Lema.

Lakini naliambia hili kundi la kichawi kwamba CDM kwa sasa haitishwi na uchawi kwani inaye Mungu wa kweli asiyetishwa na uchawi.

Hawa wachawi wakidhani wataua hata Panya kwa Lema wajue kwamba Mungu wa Lema alishasema wakiwanywesha sumu hamtadhurika.
 
Last edited by a moderator:
kila siku penye ukweli uongo hujificha. big up kidume lema na team nzima ya tindu lissu. huu ni mwanga tu wa kuelekea 2015.

tuchangamke kutetea kaki zetu na tusikate tamaa.
 
Hengereni wapiga kura wa Arusha, hongera Lema.CCM inatakiwa wawalipe wana Arusha na Lema kwa damage ya kisaikolojia kwa muda wote kesi ikiwa inaendela.
 
Hyo ksho kuuuudaahdahhadekiih usipime errrooohh makamanda ksho tujitokeze tu mke it real pamoja saaanah
 
Wamepewa ruksa na serikali ya gambaz?...

policcm wasije wakatuua huko kwa mahasira!

Ilitakiwa cdm waombe na kibali cha mkutano kabisa ili kumaliza kazi yote pamoja!
Naamini kuwa watu wote watapenda kumsikia Lema ANASEMAJE!
Erickb52 muulize Preta kama alimaliza mzigo wa gwanda, nahitaji pair mbili kesho bana!

Nahitaji gwanda langu na mama watoto. Duh j2 Arusha one
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu kwamba nitakuwa sehemu ya mapokezi ya kiistoria,nina makamanda kama hamsini kutoka chuo kikuu cha biashara moshi watakao kuwa arusha kwa mapokezi haya ya kamanda mpiganaji,peoples......
 
Back
Top Bottom