CCM siku zote hawako makini, kwa Wasira ndio wamevuruga zaidi
Mara zote mtu ukizeeka, ni mara chache kujitambua kuwa umezeeka mpaka uone shikamooo nyingi, uitwe babu n.k na au uambiwe
CCM imezeeka, tuwaambie ukweli, wanafanya mambo yao kihovyo hovyo sana
Wasira hapo alipo ni wa kupewa uongozi?
Bora Wangelimpa mwashambwa! π€£π€£