Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

mkipata viti hata vi5 mwaka huu natembea kichwa chini miguu juu mpk kwa mtei

Ulitakiwa mpaka sasa uwe kichwa chini miguu juu, maana kwenye serekali za mitaa watu wamebeba viti kibao mbali ya hujuma na mapingamizi ya kipuuzi. Na safari hii zile mbinu za kichovu za wizi wa kura watu wako tayari kuonyesha kilichomtoa kanga manyoya shingoni.
 
1. Tumaini la waliokosa AJIRA
2. Mwanga wa mama wajawazito
3. Nuru ing'aayo na tegemeo kwa wenye ulemavu hasa Albino
4. Mleta tumaini kwa wanaoonewa na dola
5. Mtanzania halisi aliyevaa Utanzania
6. Mtetezi wa kila aina ya ukandamizaji
7. Mchukia Ufisadi namba moja

twende na Dr slaa October 2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom