Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

Hivi ninyi mna akili Timamu kweli?Mtu ambaye ni MLA RUZUKU ambazo ni KODI ZAKO!Wanapeleka mademu DUBAI na MAREKANI kwa KODI yako.WanaHONGA VITI MAALUM Leo hii ndio unafikiri Watadhibiti RUSHWA?Matarajio yasiyowezekana.MBOWE tu hana "UBAVU"wa kutaja mla rushwa kwasababu ni wale wale...."Kwa Mbowe siasa ni KITEGA UCHUMI cha kumuongezea UTAJIRI ndio maana fursa zote za pesa anachukua.Ninyi hamuoni na hamtaona.Kama mtu ameshindwa kuwa mwaminifu kwa hicho kidogo(RUZUKU) WATANZANIA WATALIA SANA KAMA WATAKUWA CHINI YA HAWA MABEPARI(Wataiona CCM ilikuwa na AFADHALI).
Just be fair, ni mwanasiasa gani Tanzania ya leo hafanyi hayo uliyoyasema? Siasa ni biashara sasa hivi
 
Hivi ninyi mna akili Timamu kweli?Mtu ambaye ni MLA RUZUKU ambazo ni KODI ZAKO!Wanapeleka mademu DUBAI na MAREKANI kwa KODI yako.WanaHONGA VITI MAALUM Leo hii ndio unafikiri Watadhibiti RUSHWA?Matarajio yasiyowezekana.MBOWE tu hana "UBAVU"wa kutaja mla rushwa kwasababu ni wale wale...."Kwa Mbowe siasa ni KITEGA UCHUMI cha kumuongezea UTAJIRI ndio maana fursa zote za pesa anachukua.Ninyi hamuoni na hamtaona.Kama mtu ameshindwa kuwa mwaminifu kwa hicho kidogo(RUZUKU) WATANZANIA WATALIA SANA KAMA WATAKUWA CHINI YA HAWA MABEPARI(Wataiona CCM ilikuwa na AFADHALI).

La! aisee,wewe ni tikiti maji kweli kwa hiyo tuache kumfukuza mpangaji fedhuli anayetuibia kwa kuwa hata atakayekuja kuna hisia atakuwa mwizi it's none sense hatuwezi kuacha kumuuwa nyoka aliyechumbani eti kwa kuwa ataibuka mwingine
 
Mleta mada umeitendea haki ziara ya Dr Slaa Moro.
Hongera sana
 
bora hata huyu dr.na mwenzake prof. wanazitumia phd zao kuchambua na kufafanua facts na kuelimisha raia kuhusu nchi yao kuliko ile mingine iliyojikalia bungeni na mawizarani lakini michango ya myenyewe ktk jamii hatuioni! shame on them!!
 
Hivi ninyi mna akili Timamu kweli?Mtu ambaye ni MLA RUZUKU ambazo ni KODI ZAKO!Wanapeleka mademu DUBAI na MAREKANI kwa KODI yako.WanaHONGA VITI MAALUM Leo hii ndio unafikiri Watadhibiti RUSHWA?Matarajio yasiyowezekana.MBOWE tu hana "UBAVU"wa kutaja mla rushwa kwasababu ni wale wale...."Kwa Mbowe siasa ni KITEGA UCHUMI cha kumuongezea UTAJIRI ndio maana fursa zote za pesa anachukua.Ninyi hamuoni na hamtaona.Kama mtu ameshindwa kuwa mwaminifu kwa hicho kidogo(RUZUKU) WATANZANIA WATALIA SANA KAMA WATAKUWA CHINI YA HAWA MABEPARI(Wataiona CCM ilikuwa na AFADHALI).

Acha usengerema ww
 
Hapo ndio nakuonaga mtupu. Huwa,unajifanya una point na siku za karibuni umejifanyaga unaigiza siasa za kistaarabu na mzalendo, hivi kweli unaweza ukasimama hadharani ukasema usipopata kura zanzibar huwi rais nchi hii!!? Zanzibar ina wapiga kura chini ya wapiga kura walioko wangalau chini ya ubungo na kawe. Sasa hata sikuelewi unapotuambia mtu atakosa urais kwa kukosa hata kura moja Znz. Reality huhitaji kura za znz kuwa rais wa Tanzania ukweli ambao hata utie sera mfu za udini haukwepeki.
muundo wa muungano wa sasa hivi japokua mbovu lazima upate kuungwa mkono zanzizar kwaajili ya kuleta national cohesion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom