Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

chadema ni chama imara kinachojijenga kitasisi ili kiweze kuwa na taasisi imara ccm na vibaraka wenu bye bye ushindi huo unakuja
 
KaZa buti chadema mbele majambazi jela baada ya kufika mtakoma kudadadeki
 
View attachment 246557
raisi mtarajiwa atakuwa morogoro kusambaza upendo.
1. Tumaini la waliokosa AJIRA
2. Mwanga wa mama wajawazito
3. Nuru ing'aayo na tegemeo kwa wenye ulemavu hasa Albino
4. Mleta tumaini kwa wanaoonewa na dola
5. Mtanzania halisi aliyevaa Utanzania
6. Mtetezi wa kila aina ya ukandamizaji
7. Mchukia Ufisadi namba moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom