Mapokezi ya Dr Slaa kutetemesha Karatu leo

Kule kwao Slaa wanamjua kuwa ni tapeli na hawamuit kwa heshima ya DR wala mhe.Slaa, kule akifika utasikia wanasema, kaja nani,"wile" aaa tuko bize bana! kule anaitwa Wile!
 
Lipa laki moja na wewe uwe hivyo!

Changia JF!
Siwezi kulipa laki kisha nikachangia upuuzi.
Comment haziendani na hadhi ya mwanachama,for sure huyu kalipiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
watu wazima ovyoo matusi ya nini humu..tunaitaji fikra zako za msingi.
 
daaaa watu hadi juu ya miti

Biblia inatuambia Yesu alipoingia Yeriko kutokana na umati wa watu ilibidi Zakayo apande juu ya mti ili apate kumuona Yesu.

Nilichokiona Karatu leo nimekumbuka mbali sana
 
Biblia inatuambia Yesu alipoingia Yeriko kutokana na umati wa watu ilibidi Zakayo apande juu ya mti ili apate kumuona Yesu.

Nilichokiona Karatu leo nimekumbuka mbali sana
Hahaha hahaha hahaha Molemo unanivunja mbavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…