MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo kwa picha hii shughuli zimeendelea?
![]()
Kweli ww umepinda!
Hawa ndio wakazi wote wa karatu?
Kwa hiyo kwa akili yako ilivyo ndogo kwa picha hii shughuli zimeendelea?
![]()
Mchumba wake ambaye ni wewe?
hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Hivi wewe pia unalipwa ?
Mbona watu hakuna?
JF tanzanite member!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mmmmhhhhhhhHuko CHADEMA BABU Anawaoa nyie wanaume wenzake? Mimi ni mwanaume Mkuu!
JF tanzanite member!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mmmmhhhhhhhHuko CHADEMA BABU Anawaoa nyie wanaume wenzake? Mimi ni mwanaume Mkuu!
JF tanzanite member!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mmmmhhhhhhh
Sifa za kiongozi thabiti zinaanzia ngazi ya familia, mtaa (kwa maana ya jamii inayokuzunguka), kijiji; kata, wilaya na taifa. Ukiwa wewe ni kiongozi kweli itadhihirika katika ngazi hizo na uwezo wako wa kiuongozi ukianza kuchuja nao utajidhihirisha katika ngazi hizo siyo lazima zote but must b seen in some of these levels. Kazi kwenu na silaa wenu
Siwezi kulipa laki kisha nikachangia upuuzi.Lipa laki moja na wewe uwe hivyo!
Changia JF!
daaaa watu hadi juu ya miti
Unasumbuliwa na wivu wa kike
... Kuna Jamaa Anaitwa MSALANI Anahangaika Kweli.!
Nilipwe na nani Mkuu? Nasukumwa na uzalendo juu ya taifa hili kuyafanya haya!
Hahaha hahaha hahaha Molemo unanivunja mbaviBiblia inatuambia Yesu alipoingia Yeriko kutokana na umati wa watu ilibidi Zakayo apande juu ya mti ili apate kumuona Yesu.
Nilichokiona Karatu leo nimekumbuka mbali sana