- Thread starter
- #81
Ahsante mkuu kwa picha, itamsaidie Juliana na Mwigulu kujiandaa kisaikolojia.
Pamoja sana Kamanda
Ahsante mkuu kwa picha, itamsaidie Juliana na Mwigulu kujiandaa kisaikolojia.
Mkuu hiyo ni sehemu ya mapokezi...Picha nyingine nimeshindwa kuweka hakika ni umati uliotikisa Karatu nzima.
Ahsante sana mkuu nimeziona bila shaka karatu Ukawa tunachukua vijiji vyoteee
...... Hapo Msalani, Laki Si Pesa, Lizaboni, Simiyu Yetu Na Wengine Watasema Hizo Picha Ni Za Mwaka 2010
Barikiwa Kamanda
Mkuu hao unaowaona kwenye miti ni baada ya umati kuwa mkubwa mabarabarani ili wananchi wasishindwe kumuona wakapanda miti.
Watu ni wachache mno
Kamanda tupia picha kuna watu tulibishana nao hapo KRT siku ya jana niliwaambia mwigulu watu hawakwenda kwamba wanaipenda ccm, walikwenda kumwona ni nyang'au yupi huyu aliyekuwa anaitukana CHADEMA yoote + Slaa, eti leo anakuja Kratu. Tupia
Molemo nafurahi sana mkuu wilaya yangu niliyozaliwa kuzidi kuwa chachu ya mabadiliko,, ikumbukwe toka uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi kufanyika kwa Mara ya kwanza mwaka 1995 karatu walichagua Chadema, mpaka sasa bado karatu wamezidi kuwa sehemu ya mageuzi ndani ya nchi hii,, Mungu Baba wabariki sana wananchi wa karatu.....
Nakuhakikishia Chadema itashinda mitaa na vijiji na vitongoji vyote.Niamini.
Wengi wanaanzia na idadi gani?
... Slaa For Prezdency
Shughuli zisimame kwa ajili ya BABU?
Acheni vioja nyie.
Molemo nani kakufundisha kuedit picha?
kazi aliyofanya mwigilu work done ni zero
yaani alikuwa anasukuma ukuta kwa kutumia nguvu kubwa ila ukuta haukusogea yaani baada ya kujamba watu wametema mate ndio dawa ya ushuzi