.....jana kawatapeli ccm wakati longtime kashafururushwa na Chama !!
Jamaa kawaingiza kingi akina mwigulu na jamii yake wakaamini kuwa wamempokea katibu wa cdm Karatu! Kapiga hela na amesepa!!!!
Shughuli kusimama masaa sita ni sifa sana eeenh??!!!
Sehemu ambayo ni ngome kwa miaka ishirini bado unahitaji ushereheshaji wa aina hii yako muandishi??!!
Kuchinjiwa mbona ni jambo la kawaida saaana kwa jamii za kufuga, yaani hata bibi yangu nikienda hutoa japo kuku achinjwe!!!
Huku ndio kunaitwa kudekeza viongozi halafu wakipata madaraka mnataka watekeleze matakwa ya nchi wakati mnawazoesha wenyewe masifa na kujipendekeza bila sababu ya maana!!!
Ukombozi hauji kwa masifa kama anayopewa bibi harusi na muendesha sherehe!!!
Karatu wamemchoka Dr.Slaa
Hivi ukicomment mara moia haitoshi?au ndo payroll inatuna?
CCM INA WENYEWE NA WATU KIBAO.
Shughuli zisimame kwa ajili ya BABU?
Acheni vioja nyie.
Shughuli zisimame kwa ajili ya BABU?
Acheni vioja nyie.
Karatu wamemchoka Dr.Slaa
Haya!!! Wale viumbe wanaolipwa elfu 7 na Mwigulu ili kumtukana Dr Slaa kwenye mitandao karibuni kwa matusi!!!
Shughuli zisimame kwa ajili ya BABU?
Acheni vioja nyie.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa leo ataanza ziara ya kichama kwenye jimbo la Karatu.
Ziara ya Dr Slaa ni ya kawaida ya kuimarisha chama na kuwanadi wagombea wa Serikali za mitaa,vijiji na vitongoji.
Kama inavyokuwa siku zote kiongozi huyo anapozuru Karatu ni kwamba mapokezi makubwa sana yameandaliwa na inatarajiwa shughuli katika mji wa Karatu na viunga vyake kusimama walau kwa masaa 6 kupisha ujio wa kiongozi huyo maarufu zaidi Tanzania.
Katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumapili Chadema inatarajiwa kushinda mitaa,vijiji na vitongoji vyote jimboni Karatu kutokana na jimbo hilo kuwa ngome kuu ya Chadema kwa kipindi cha miaka 20 sasa.
Dr Slaa ni mzaliwa wa Karatu na ameongoza jimbo hilo kwa miaka 15 akiwa mbunge hivyo anaporejea nyumbani wanaKaratu wanasema ni mtoto amerudi nyumbani huku vijiji kadhaa vikitoa mbuzi na ngombe kuchinja na kufanya sherehe kwa heshima ya Kiongozi huyo wa kipekee.
love u too dr.slaaKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa leo ataanza ziara ya kichama kwenye jimbo la Karatu.