Mapokezi ya Dr Slaa kutetemesha Karatu leo

Mzee Slaa amefilisika kisiasa.
Angetulia nyumbani tu na mchumba wake.
 

Mme wenu Bush alivyokuja mlitufukuza mpaka mabarabarani. sasa mtoto kupokelewa kwao kwa nderemo na vifijo Shida? Mtajibeba mwaka huu tuone sasa mbinja mlizokuwa mnapiga Jana!!
 
Michael Hayshi na Botha waliojiunga na CCM si ndio watajuta leo kwa kujiunga na mafisadi ! Yetu macho na masikio.

Huyu Michael Hayshi ni mroho sana wa madaraka huyu Mzee,, ameongoza kijiji cha Bassodawish toka 1992 mpaka leo bado anang'ang'ania madaraka as if yeye peke yake ndio Mwenye uwezo wa kuongoza,, akafie huko huko CCM chadema hatutaki waroho wa madaraka kama hawa
 
Kamanda Molemo nitaweka updates niko pande za huku Dr. Nikipenzi cha watanzania wote

Mkuu nasubir sana picha za kumwaga kutoka pande hizo...... Bila shaka mkutano utafanyika uwanja wa Mbowe hapo bwawani
 

Dada povu limekutoka imekugusa eehh?
 
tunamtakia kila la heri raisi wetu mtarajiwa Mungu amlinde na ampe maisha marefu zaidi.operasheni FUTA DELETE CCM NCHI NZIMA inaendelea wananchi hawana imani tena na serikali ya ccm
 
Tarehe itaonekana kwenye "Discharge summary" yake pamoja na tarehe ya kurudi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…