H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,003 Reaction score 23,642 Dec 4, 2019 #1 Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,003 Reaction score 23,642 Dec 4, 2019 Thread starter #2 Nimejaribu kupost hiyo video naona imeshindikana
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,017 Reaction score 69,400 Dec 4, 2019 #3 Awe Mzalendo Ajue Tunahaingikia Ndege Kule Mkulima Anakotupa Tabu Tutaipata Ndege Yetu
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,463 Dec 4, 2019 #4 umepost nje yamuda hivo thread yako haitakua na mapokezi mazuri kama ya bwana mkubwa