rich gang
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,552
- 908
exactlyTunakoelekea watatajana mabaya yao yote...hata hizo kura za urais 2015 kuna watu wanajua mchezo mzima ulivyofanyika hopefully.
Kumpata mtu msafi ndani ya CCM ni kazi kubwa; ni bora upewe kazi ya kutenganisha punje za sukari na mchanga toka kwenye gunia la kilo 100.