Mwigulu na January Makamba waendelea kutikisa Mlalo na Bumbuli hii leo

ukwelinauwazi

Member
Nov 24, 2014
71
91
12122734_892457587474733_2065806451605691311_n.jpg
Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.
12072657_892457434141415_4494095298932909078_n.jpg
January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.
12047204_892457504141408_3936958525474907489_n.jpg
January Makamba chaguo la Wanabumbuli.
12106841_892457397474752_648320035596397278_n.jpg
Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao.
12122634_892457224141436_4493967299617476321_n.jpg
"Mabadiliko ya kweli yapo CCM"
12122730_892457144141444_4491240267275868209_n.jpg
January Makamba akinadi sera zake na kuzungumzia Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa jimbo la Bumbuli kata ya Mbuzii.
12088098_892456877474804_716707661063064602_n.jpg
Vijana wa kazi wa Chama cha Mapinduzi wakiwasili kata ya Dule.
12072646_892456607474831_8645017181103286556_n.jpg
Wananchi wa Kata ya dule wakionesha Umoja wao kwa Chama cha Mapinduzi.
12107866_892456450808180_8340990523406867631_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge wa Bumbuli Ndg.January Makamba kwa Wananchi wa kata ya Dule.
12108123_892456784141480_166237034299700422_n.jpg
Mbunge ni January Makamba kwa Bumbuli.
11201826_892456357474856_6332388869915619525_n.jpg
Januray Makamba akizungumza na Wananchi wake ,Kubwa ameomba kura za wingi iliaweze kuwa Mbunge wao kwa kipindi cha pili.
12106841_892456307474861_4732500799627100586_n.jpg
Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba akizungumza na Mwananchi wake mwenye Ulemavu.

12143220_892456204141538_652127414899425252_n.jpg
12105950_892456254141533_4149297969933953644_n.jpg
Wananchi wa kata ya Bumbuli wakifuatilia Mkutano wa Mbunge wao Mh.January Makamba hii leo.Wananchi wanamekaa Vilimani kutokana na Uwanja kujaa Maji yaliyotokana na Mvua.
10891860_892456084141550_6840320013113505182_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimuombea kura Rais Mtarajiwa Mh.J.Pombe Magufuli,January Makamba na Madiwani wa Chama cha Mapinduzi.
12072770_892456017474890_5908425337116453173_n.jpg
Mbunge wa Bumbuli akuungumza na Wanabumbuli Jioni ya leo,Makamba ameomba ridhaa ya kupigiwa kura kuwa Mbunge wa Bumbuli kwa kipindi cha pili.Pia ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura,Kwa upande wa maendeleo tayari ameshaanza ujenzi wa uwanja wa Mpira wa kisasa kwa Bumbuli,Usambazaji wa maji kwenye mitaa na Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara.
12096405_432104636991770_1031600884753471244_n.jpg
Wananchi wa Bumbuli wanachotaka kukisikia ni January Makamba kuwa Mbunge wao,Mapokezi ya kila kata yanadhihirisha amewatendea haki kwenye usimamizi wa shughuli za Maendeleo.
Picha na Sanga Festo Jr.
 
January Makamba chaguo la
Wanabumbuli.

Back
Top Bottom