mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
- Thread starter
- #21
Sikujipangia ndio maana akitaka namba yangu ili wao wanipangie lkn miezi???? Looo ht wewe uliyejibu hp hukuelewa tgread umekurupuka. WalewaleeeeeNi jambo la kushangaza kweli, unaendaje kwa mtu na shida zako halafu unataka kuonana naye kadiri unavyotaka wewe? Ninavyojua, siyo tu ofisi, lakini kila mtu ana utaratibu wake wa maisha. Sioni ajabu Shigongo kuweka utaratibu wa kukutana na wanaomhitaji, ndiyo maana wanaoona ajabu kwa yeye kuweka utaratibu, ni wale wasio na shida naye. Niwaulize waungwana, hivi mtu anaweza kuja kwako akakukuta kwa mfano unaongea na baba yako akataka umuache umsikilize?