mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nilifika mapokezi nikaomba kuonana na mkurugenzi. Huyu binti mnatooo sijui ndio mmiliki halali au vipi maana duuu anaongea km anapumua almasi kumbe hewa ya kawaida tu.
Akaniuliza una appointment? nikajibu la! Akasema nipe namba yako nitamfikishia ujumbe kisha nitakupigia siku utayopewa appointmet. Nikashukuru nikaondoka nikiwa na matumaini ya kupata fursa hiyo. Wiki ikapita hakuna simu wala nn. Nikarudi nikamuuliza vipi?
Nikamkumbusha nilipofika pale mara ya kwanza. Akasema bado lkn namba yako bado nimehifadhi. Nikarudi wa baridi na hivi sasa ni miezi imepita.
Najiuliza huyu sekretari alitimiza wajibu wake au aliniminyia makusudi? Yeye ndio huamua watu wa kumuona huyo Shig? Alijua kilichonipeleka pale? Shig alijua kuna mtu alikuwa anataka kumuona? Nina maswali mengi ila naona tu nisiyaweke yote hapa.
Sijui wenzangu mmewahi kukutana na adha km hizi?