Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Ila hizi house party mavyuoni imekuwa trend ni mwendo wa kupigana miti nilisimuliwa mwanachuo mmoja nilishangaa,halafu anavyo simulia anaona kama kitu cha kawaida.
 
Kwani usifanikishe hili la ajira kwanza sio kila siku unaimba Natafuta Ajira ??
User name ya muda mrefu kidogo sema nasita kuibadilisha kwa sababu watu washaizoea. Kuna watu wananitumia mikasa yao inbox, kuna wengine wananitag sasa nikiibadilisha watapata shida kunitafuta, ila kwa sasa maisha yapo kwenye muelekeo wenye matumaini. Sipo tena kwenye iyo phase ya kutafuta ajira
 
Sasa iyo si unaweza hata kuweka tu cheti cha mtu. Taja majina yako weka na picha uliosoma nao wajitokeze
Naonaa unataka kuniprovoke ili tu niexpose kila kitu kuhusu mimi humu ila kwa hilo hutofanikiwa, kuna uzi wa Mshana Jr unaitwa selfika na jf ni wa kitambo toka 2019 tulishatuma sana picha zetu humo na tulishafahamiana na watu wengi nje ya jf kupitia huo uzi, nadhani kwa sasa wanatosha sihitaji mtu mwingine yeyote wa humu jf anifahamu labda niamue mimi mwenyewe, lakini kwa kukusaidia tu mtafute member anaitwa Amehlo nimesoma naye chuo kimoja darasa moja na tumemaliza mwaka mmoja 2019 atakuelezea walau kwa uchache kuhusu mimi, kama hutaki basi ila kaa ukijua hunifahamu na kama unanifahamu basi thibitisha unachokijua kuhusu mimi nasisitiza tena THIBITISHA..au jaribu kuweka na wewe credentials zako kama nilivyofanya mimi!!
 
Post yangu umeichukulia kwa uzito sana.
Haikuwa hata ya kumaanisha mkuu...wewe jiite utakavyo, hata ukijiita jiwe ni sawa tu
 
Waambie hao.
 
Career woman ni mwanamke mpumbavu sana na malaya wa kutupwa

Mwanamke yoyote ambaye ana ambitions kubwa kwenye career;

Sikuzote she puts her interest before her marriage

Anafocus zaidi kwenye dreams za mafaniko yanayotokana na career yake kuliko interest of the family

Akipata kazi kipaumbele chake ni boss na sio mume wake yuko radhi awe submitted kwa boss wake kuliko mume wake

Kipaumbele chake ni career na sio watoto wenu. Atataka awe na msaidizi wa nyumbani kulea watoto wake

Siku zote huyu mwanamke yuko busy na hivi kwamba anashindwa kushughukikia masuala ya kifamilia yanayomhusu mke au mama

Huko kazini sasa yuko tayari kuchanua hata mapaja yake ili apate promotion ya kupandishwa cheo. Always career woman spreads her legs for her superiors. Kama alimchanulia mapaja lecturer atashindwaje kwa boss wake

Kwa sababu ameshamegwa sana na kuishi maisha ya ndoa bubu na sogeza tuishi usitegemee malaya huyo atakuwa mke wa maana

She never ever make a happy home

Learn or perish
 
Basi hapo ataenda kumtafuta huyo member na kumdodosa kukuhusu wee, ataomba na picha kabisa.

Ila dada kufahamiana JF na mtu huko nje mnajuana, sio risk? Mie kuna member nlitaka kufahamiana nae, ktk kumchimba kumbe nimesoma nae advance afu class 1, nili mblock na kumu ignore kabisa, Lol
 
Mbaga Jr hapa vipi Luteni wangu. Tupige nyundo kichwani waache kugalagala au tusambaratishe vipande kwa BomboπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha yani hata mimi sijui ilikuwaje nikafahamiana na huyo member my dear ni kiherehere changu tu kuna avatar aliweka nikamfananisha kumuuliza kumbe ndio yeye, nami nikajitambulisha tukafahamiana lakini hata huko chuoni hatukuwahi kuwa marafiki kabisa na alishawahi kunisagia kunguni humu kuwa mimi ni mbishi hata kwenye real life maana si ananifahamu, ukiacha huyo the rest niliofahamiana nao nje ya jf tulikuwa hatujuani kabisa hapo kabla tena wengi ni watu wazima na tunaheshimiana sana maana huwa niko very selective na watu wa kufahamiana nao humu huwa sikurupuki
 
Kabisa kabisa. Career women ni wajinga na wapumbavu tu
 
Mwanamke wa hivyo anaweka ambitionas kubwa kwenye career yake kuliko mume wake sababu walau ana uhakika kuwa career yake ina uwezo wa kumuingizia kipato na kumtimizia mahitaji yake kuliko mume wake, ukizingatia wanaume wenyewe ndio hawa wasio na shukrani ukiwa mama wa nyumbani watakuita golikipa na kukunyanyasa ila ukitoka kutafuta pesa ili uwasaidie majukumu yao watakuita mjeuri na kiburi, chanzo cha haya yote ni wanaume kushindwa kutimiza na kukimbia majukumu yenu na hata mkiyatimiza mnayatumia kama fimbo ya kuwachapia wanawake hivyo wanaona bora nao wajitafutie vyao ili wasinyanyasike
 
Hakuna uhusiano wowote wa mwanamke kutoka kutafuta kipato na kuwa jeuri kwa mumewe. Inawezekana kabisa kuchangia bill za nyumbani na kumweshimu mumeo kama kichwa cha familia.
 
Hakuna uhusiano wowote wa mwanamke kutoka kutafuta kipato na kuwa jeuri kwa mumewe. Inawezekana kabisa kuchangia bill za nyumbani na kumweshimu mumeo kama kichwa cha familia.
Acheni kudanganyana ujeuri wa binadamu yeyote yule unategemea na uchumi alionao ujeuri wa mwanamke kwa mwanaume unategemea na uwiano wa majukumu ya kiuchumi kati ya huyo mwanamke na mume wake, ikiwa mume ndio anawajibika zaidi kiuchumi kuliko mke basi mwanamke hana budi kumheshimu mumewe, ila ikiwa mke anawajibika sawa na au zaidi ya mume wake kiuchumi basi hapo usitegemee heshima yoyote ile, sababu msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko katika huduma za kiuchumi tu na si vinginevyo huwezi kukitawala kiumbe usichokiwajibikia na vile vile huwezi kukitii kiumbe kisichokuwajibikia, hakuna binadamu aliyekuja duniani kumtii binadamu mwenzie bure tu kuna msemo unasema with great authority comes great responsibility hakuna mamlaka bila wajibu
 
Nna swali mkuu, wadada wa vyuo vya arusha wanajiuza kwenye club zipiπŸ€” tupeane connection Natafuta Ajira
 
Hongera kwa hilo pia.
 
Kuna mtu nataka asome hapa kwa umakini, ili aelewe kwa uzuri zaidi, kila nikimuelekeza huwa hakubali hili.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Sio kweli kabisa. Mwanaume kisaikolojia anajiona provider huyu hata akiwa ndie bread winner kwenye familia ndoa itaenda vizuri. Mwanamke yeye anajiona ni receiver huyu hela yake ikiingia kwenye bill za familia kama hana hekima kama wewe lazima ilete shida.

Nina dada angu kaolewa na kipato chake na mumewe kipo kwenye scale inayolingana lakini naona jinsi anavyomuheshimu mumewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…