Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,600
- 19,866
Upo sahihi kbsa mkuu,jamaa ameongelea wanawake wanaotoka kwenye familia zenye uchumi mdogoNaona haya ni maisha ya msichana anaekua kutoka familia MASIKINI
yaani wote hao wanamtomba in exchange ya huduma mbalimbali na wala sio kutombana sababu ya upendo au connection au just pleasure
ni kutombana as a transaction ya huduma mbalimbali
huu ni UMASIKINI!
angekua tajiri au familia tajiri tungekua tunaongea route tofauti kabisa
shida hapo sio uzinzi,shida hapo ni UMASIKINI
Uchumi mdogo ndo upi mzee mwenzangu? Hivi vyuo vyetu vya kawaida kukuta mtoto wa tajiri anasoma ni ngumu sana, wengi wanatokea kwenye famiia za kawaidaUpo sahihi kbsa mkuu,jamaa ameongelea wanawake wanaotoka kwenye familia zenye uchumi mdogo
Jisemee wewe.Hakuna mtu anahitaji bikira dunia ya leo, labda wakabila na wafia dini wanafiki
Ndio maana siku hizi watu wanatia kwanza mimba then maswala ya ndoa baadae..Mkuu nadhani kila zama zina mahitaji yake kwa mwanamme wa ndoa,mahitaji ya bikra nadhani ilikuwa zama za zamani,kwa sasa ukipata mwanamke wa ndoa na akawa na uwezo wa kutunga mimba tu shukuru Mungu.
Kuna rafiki zangu wawili madeadly simps waliingia kikristo kwenye ndoa hadi leo jina la baba wanalisikia kwenye sala tu.
Mungu atufanyie wepesi.
Kwanza kabisa maandiko yanasema toa kwanza boriti lililoko jichoni mwako kabla hujatoa kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzako vinginevyo maandiko yanamuita mtu wa hivi mnafiki, wanaume kinachofanya wanawake wasiwasikilize ni kitendo cha kukemea mabaya yao tu na kuyaacha ya kwenu, kana kwamba ninyi ni watakatifu au ninyi ndio mna haki ya kutenda mabayaJadda sijawahi kuona ukitetea mienendo mizuri ya wanawake. Tukisema wanawake wajitunze utapinga, tukisema wanawake wenye kipato wachangie bill za nyumbani utapinga.
Always unataka mambo yaende kwa negotiation yaani kabla ya mwanamke kufanya hivi mwanaume afanye hivi kwanza, kama vile wanawake ni wajinga ambao hawajui wanafanya nini.
MImi sio muumini wa hayo maandiko uliyoyafanyia rejea. Mshua alinikuza katika misinhi ya kitamaduni zaidiKwanza kabisa maandiko yanasema toa kwanza boriti lililoko jichoni mwako kabla hujatoa kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzako vinginevyo maandiko yanamuita mtu wa hivi mnafiki, wanaume kinachofanya wanawake wasiwasikilize ni kitendo cha kukemea mabaya yao tu na kuyaacha ya kwenu, kana kwamba ninyi ni watakatifu au ninyi ndio mna haki ya kutenda mabaya
Kwenye suala la sex tayari nilishakuambia mara nyingi sana, hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja mwanaume na mwanamke. Mwanaume hata akiwa na mileage kubwa ya body count likija suala la kuoa ilo suala halizingatiwi cha muhimu tu awe amejipanga kutunza familia. Hii ni tofauti na mwanamke akiwa na body count ikawa inasoma namba kubwa inamchafulia profile. Kwaiyo mwanamke kama gatekeeper ya sex na fertility na victim wa consequencies za high body count na unplanned pregnancy anawajibika zaidi kujichungaSiku zote ukitaka watu wakusikilize kuwa fair kwenye kukemea mabaya na kusifia mazuri usiwe na any kind of biasness vinginevyo utaonekana mnafiki kama wanafiki wengine tu, na kingine nilishakuambia kwenye suala la ngono na mahusiano hakuna namna unaweza ukaihukumu jinsia moja ukaiacha nyingine, kwa sababu hilo ni tendo ambalo ili lifanyike linahitaji uwepo wa jinsia zote mbili huwezi kusema eti jinsia moja ikilifanya ni sahihi ila jinsia nyingine ikilifanya ni kosa
Yani logically ni either hilo tendo liwe sahihi kwa wote au liwe kosa kwa wote kulingana na mazingira na siyo mnasingizia eti ni nature ilihali ni social constructs tu, jamii nyingi hasa za kiafrika zimekuwa na mitazamo fulani ambayo haitumii logic bali lengo lake ni ili mradi kuwakandamiza tu wanawake na kuwanufaisha wanaume, maana ukitumia common sense tu ukaangalia hiyo mitazamo unaona mingi haina uhalisia bali ni hisia na mihemko tu kitu ambacho ni far from nature
Ndo hapo sasa, ajabu iliyoje, LolBinafsi i am very happy umalaya wao unawarudia usoniπ
Kwani wanawake wanalala na nani?
Hivi si ni juzi tu hapa nimetoka kukuambia kwamba mwanaume kuwa judged kulingana na uchumi wake ni kwa sababu ya mgawanyo wa majukumu na si vinginevyo, ni kama ambavyo wanawake wanakuwa judged kwa uwezo wao wa kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto na kutunza mume nk, mbona wanaume wanapotaka kuoa hawaulizwi kama wanajua kufanya hizo kazi ilihali wanaweza kuzifanya, hiyo ni kwa sababu hayo yanaonekana ni majukumu ya wanawake kama ambavyo kutafuta pesa na kuhudumia familia yanaonekana ni majukumu ya wanaume, ndio maana wanakuwa judged kulingana na uchumi wao sababu mwanaume ndio sole provider wa familia ingawa wapo wanaume masikini wanaopata wanawake wa kuoaMImi sio muumini wa hayo maandiko uliyoyafanyia rejea. Mshua alinikuza katika misinhi ya kitamaduni zaidi
Kwenye suala la sex tayari nilishakuambia mara nyingi sana, hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja mwanaume na mwanamke. Mwanaume hata akiwa na mileage kubwa ya body count likija suala la kuoa ilo suala halizingatiwi cha muhimu tu awe amejipanga kutunza familia. Hii ni tofauti na mwanamke akiwa na body count ikawa inasoma namba kubwa inamchafulia profile. Kwaiyo mwanamke kama gatekeeper ya sex na fertility na victim wa consequencies za high body count na unplanned pregnancy anawajibika zaidi kujichunga
Hapo haimaanishi ya kwamba mwanaume anapendelewa kwa sababu hata yeye kuna vigezo ambavyo vinambana kutokana na jinsia yake, mfano suala la uchumi linapokuja suala la kuoa. Kila jinsia ina matamanio ya kiwa na mwenza wa jinsia nqingine lakininkwa mwanaume kufanikisha ilo ni lazima awe na stable income, hii ni tofauti na mwanamke ambae anaweza kuingia kwenye mahusiano/ndoa hata akiwa masikini ambae hana chochote.
Chuo unamalizaje na Bikra aisee labda VetaWee acha kudanganya waja, wapo walio maliza chuo na bikra zao.
Sasa unabisha nini mbona tuko Wengi tuliomaliza vyuo tena vikuu tukiwa na bikira, infact hadi leo wengine katika umri huu wa late 20s bado tuko na bikira na hazina dalili za kutolewa, yote yanawezekana ikiwa mwanamke utawadharau wanaume na ukiwa huna tamaa za kipumbavu kabisaChuo unamalizaje na Bikra aisee labda Veta
Ni Chuo, tena wengine had course za miaka 5 au 6.Chuo unamalizaje na Bikra aisee labda Veta
Wewe utakuwa Umepita Vyuo vya ufundi ambavyo ushawishi uko chini, Sisi wazee wa Political Science, Sijui Human resources na Business Admistration hakuna Mtu Kuchomoka na Bikra tena uwe dar hapa chances ni ndogo sanaSasa unabisha nini mbona tuko Wengi tuliomaliza vyuo tena vikuu tukiwa na bikira, infact hadi leo wengine katika umri huu wa late 20s bado tuko na bikira na hazina dalili za kutolewa, yote yanawezekana ikiwa mwanamke utawadharau wanaume na ukiwa huna tamaa za kipumbavu kabisa
Acha ubishi na kujifanya unanijua sana mimi nimesoma Mzumbe nina Degree ya HR nina miaka 27 na bado bikira, chuo nilichosoma hakiko Dar lakini nimezaliwa Dar nimekulia Dar wazazi na ndugu wengi wako Dar na kwa sasa Nafanya kazi na biashara hapa hapa Dar, sema kingine maana hamchelewi kusema "oo wewe utakuwa huna tako na una sura ya baba" ilimradi tu mpate sababuWewe utakuwa Umepita Vyuo vya ufundi ambavyo ushawishi uko chini, Sisi wazee wa Political Science, Sijui Human resources na Business Admistration hakuna Mtu Kuchomoka na Bikra tena uwe dar hapa chances ni ndogo sana
ππππ wazee wa political scienceWewe utakuwa Umepita Vyuo vya ufundi ambavyo ushawishi uko chini, Sisi wazee wa Political Science, Sijui Human resources na Business Admistration hakuna Mtu Kuchomoka na Bikra tena uwe dar hapa chances ni ndogo sana
Wewe ni muongoAcha ubishi na kujifanya unanijua sana mimi nimesoma Mzumbe nina Degree ya HR nina miaka 27 na bado bikira, chuo nilichosoma hakiko Dar lakini nimezaliwa Dar nimekulia Dar wazazi na ndugu wengi wako Dar na kwa sasa Nafanya kazi na biashara hapa hapa Dar, sema kingine maana hamchelewi kusema "oo wewe utakuwa huna tako na una sura ya baba" ilimradi tu mpate sababu
Kuna demu nimemaliza nae chuo siku moja nikaona kapost picha zake za harusi mtandaoni nikamzoom bwana harusi nikabaki namsikitikia tuCareer Focused Women ni hatari sana kuna Demu unakuta mnaishi Chuo for 4 yrs kula na Kupakua plus abortion kibao along the way yani Umevuruga haswa leo unasikia Kuna Mjuba anasweka Ndani iyo kazi ni balaa sana yani trip zake za kikazi akijua tu upo sehemu fulani brake ya kwanza Nikulete Bumbu utindue
Unanijua?? Thibitisha kama mimi ni muongo!! π€π€Wewe ni muongo