Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.
Hapa mkuu unapigia mbuzi gitaa acheze.

Wenzio hapo wanaoa degree na ajira ya mwanamke kwa ajili ya kipato chake!

Hayo mengine kwao hayana maana, kwa sababu huyo mwanamke mwenyewe anayeolewa anakuwa hapendwi, kinapendwa kioiato chake.
Ilo pia ni tatizo, na wanaume wengi bado hawajajua kwamba mke wa kushinda nyumbani ana output kubwa zaidi ya hawa career women. Hela ya mwanamke asie na hekima ikiingia ndani ya nyumba italeta matatizo.
 
Sasa huyo ni mpenda ngono, yeye hafanyi ngono apate kitu fulani, kwake hiyo starehe ni tofauti na hao wa mleta uzi wa kufanya ili apate kitu.
 
Unashangaa mkuu. Mademu wa UDSM kuanzia ijumaa mpaka jpl wapo kitambaa cheupe pale sinza. Akilala na wanaume wawili kwa wiki piga hesabu mpaka amalize miaka mitatu ya chuo
Malaya wengi hujifanya wanachuo ili kula pesa za wazembe nina expirience na hili.
 
Sawa mkuu, tukubali tu kutokubaliana ila kwa expirience yangu ni kua hoja unayo ila umezidisha mno.

Pisi zenye maisha hayo chuo ni za kuhesabu na ukiziona tu, ile mikogo yao unajua tu hili galasa.
 
Malaya wengi hujifanya wanachuo ili kula pesa za wazembe nina expirience na hili.
Kama ni mzoefu ukimuhoji tu unajua, mfano siku moja nipo getway annex pub kijichi demu akjisogeza kwwnye meza yangu katika maongezi akasema anasoma TIA nikamuuliza unasomea nini, akaniambia sheria. Moja kwa moja nikajua huyu muongo kwa sababu TIA hakuna course ya sheria pale
 
Sawa mkuu, tukubali tu kutokubaliana ila kwa expirience yangu ni kua hoja unayo ila umezidisha mno.

Pisi zenye maisha hayo chuo ni za kuhesabu na ukiziona tu, ile mikogo yao unajua tu hili galasa.
Mimi kwa experience yangu mwanamke kumaliza chuo akiwa na body count ya 100+ ni kawaida sana. Hawa mabinti wa kisasa usiwachukulie poa, kuna mambo wanafanya ukiyajua hauwezi kuamini.

Wewe fuatilia tu trend ya wanawake kuwa na iphone mjini. Sasa hivi almost kila mdada wa mjini ana iphone, wewe unafikiri hela wanatoa wapi.

Kuna binti mmoja hivi wa jirani yangu yupo form 3 tu likizo ya mwaka jana alirudi ana mimba. Baada ya kuhojiwa kuna kijana alimtaja ndio muhusika, na yule kijana aliikataa ile mimba. Watu walimlaani sana yule kijana, mimi nilitafuta siku nikakaa na yule kijana nikaongea nae ile kishkaji tu. Aliniambia yule binti alijuana nae tinder, sasa fikiria binti wa form 3 tu tayari yupo tinder. Akifika chuo itakuaje
 
Wasome lakini suala la kusema mwanamke wa 19-23 ni mdogo kuolewa iyo sio sahihi kwa sababu huo umri tayari washaanza kufanya mambo yote ya mke kwenda kuyafanya ndoani
Mwanamke anatakiwa asome, atengeneze uchumi wake ndio aolewe miaka 25-30 hapo
 
Sasa kama unasema mabinti wengi wa miaka 18 hadi 20 tayari wameshatolewa bikira na hawako tayari kuolewa katika umri huo, halafu hapo hapo unashauri wanaume wenzio wakitaka kuoa waoe bikira ni bikira gani hizo unazozizungumzia, yani natamani miaka 10 hadi 20 mbele tuendelee kuwa hai halafu tutarudi hapa kuambiana kama wanaume wataacha au watapunguza kuoa hao wanawake mnaosema wametumika
 
Jadda sijawahi kuona ukitetea mienendo mizuri ya wanawake. Tukisema wanawake wajitunze utapinga, tukisema wanawake wenye kipato wachangie bill za nyumbani utapinga.

Always unataka mambo yaende kwa negotiation yaani kabla ya mwanamke kufanya hivi mwanaume afanye hivi kwanza, kama vile wanawake ni wajinga ambao hawajui wanafanya nini.
 
Binafsi i am very happy umalaya wao unawarudia usoni😃
Kwani wanawake wanalala na nani?
 
Chief usijichoshe
Na wanaolewa kila uchao na hakuna kitu utafanya
 
Jadda akiingia bac tena .
😂Nyuzi inajaa ubishi
 
Hakuna mtu anahitaji bikira dunia ya leo, labda wakabila na wafia dini wanafiki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…