Mapishi ya biriani

Doh...hawakumfanyia postmortem? Doh .vifo hivi😭
 
Ndio mama yetu hajasoma sana sasa yeye ana sahin tu sasa siku akawasikia wanaongelea hiyo hela hela ilikuwa nyingi ila kwenyw account mama alingizia m7 tu hiyo nyingne waligawana na baada ya kufwatilia ni kweli kaka yetu mkubwa akasema potezeeni
Dah!
Jamani.
Poleni sana.
 
Doh...hawakumfanyia postmortem? Doh .vifo hivi😭
Sikufuatilia tena, ila yaonekana aidha alilishwa sumu au alikunywa kinywaji kichafu au pia yawezekana alipata heart attack!
Gari ndio nasikia wanaliuza, pesa benki inafuatiliwa.
Ameacha mke na mtoto mmoja tu wa kike wa miaka 15.
Huyu baba alikuwa na ukwasi sana sana, sidhani kama kweli ana 90M benki, nahisi ana kiasi zaidi ila rafiki yake anamchezea mchezo mke wa marehemu.
 
Dah!
Jamani.
Poleni sana.
Tushapoa hizo hela zilikuwa kweny account hakuna mtu anajua salio na isitoshwe hazina kuu nayo alikuwa anaidai wakamuwekea ili pesa ya mirathi itoke ila mahakama na bank ni marafiki sana
 
Hiii imetokea lini aisee
 
Nilipokua nasikia kuhusu biriani, nliwiwa mno kula, ila toka ile siku nile, sitaki tena hata.
Inatia kichefu chefu hatari, Lol
 
Tushapoa hizo hela zilikuwa kweny account hakuna mtu anajua salio na isitoshwe hazina kuu nayo alikuwa anaidai wakamuwekea ili pesa ya mirathi itoke ila mahakama na bank ni marafiki sana
Yeah, ni marafiki hasa wakiona nao watapata faida japo inatia uchungu.
Mimi marehemu baba alipofariki, nilijifunga kidete kufuatilia kuanzia bank, mitandao ya simu, Saccos, vyama vyao vya kazini (uzuri alikuwa na cheo hivo haikuwa ngumu sana)

Tunashukuru Mungu kwani baadhi ya wafanyakazi wenzake walikuwa nasi watoto wake bega kwa bega kwenye ufuatiliaji.
Hapo ndipo tulijua kuwa kumbe wazee wetu wana weka sana akiba kwa ajili ya watoto wao.
Tulikusanya mpaka shilingi kumi za kwenye akiba.
 
Sisi mfwatiliaji alikuwa n mama tu wengi tulikuwa mkoani tu
 
Sisi mfwatiliaji alikuwa n mama tu wengi tulikuwa mkoani tu
So sorry, ila nina imani mlipata hata hiko kilichobaki.
Mimi ilibidi nisimame kazi kidogo ili kufuatilia.
Uzuri kazini kwangu walikuwa na taarifa ya baba kuumwa na walikuwa wanakuja kumuona hvo nilipata urahisi flan hv ktk kuomba ruhusa.
 
Yah ilipatikana
 
Nilipokua nasikia kuhusu biriani, nliwiwa mno kula, ila toka ile siku nile, sitaki tena hata.
Inatia kichefu chefu hatari, Lol
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Pole sana au mayai ndio yalileta kichefuchefu au zile ndizi ningekuwa nimekupikia mie usingepata kichefuchefu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Pole sana au mayai ndio yalileta kichefuchefu au zile ndizi ningekuwa nimekupikia mie usingepata kichefuchefu
Hivi watu wanawezaje kwani kula biriani? Nimekula kdg tyuh, kichefu chefu hiki hapa.
Nliacha, na sitaki hata kuona kwani. Aaaah
 
Kuna dada hapa mtaani kwangu wanamuita asha biriani ika sjawai kumuona akijihusisha na biashara ya chakula
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…