Safi sana.Kwa sura upo kama mkate wa sembe
Lkn kuna unga wake special unapikiwa sijui unaitwa uwanga. Then unawekwa na spices na sukari yake inaunguzwa inakuwa brown. Then unapikwa kama pudding, yaani sufuria ndani ya sufuria ya maji. Kwa moto mdogo mdogo. Inakuwa kazi ya kuongeza maji tu kwenye sufuria ya nje. Sasa ile sauti inayotoka wakati unapikwa ndio hio gudugudu
Hio mikate sio aghlab kuiona inauzwa kama vitafunwa. Ni upishi wa ki Comoro
Duh kifo hikiKabisa.
Yaani sijui itakuwaje.
Ahahah kumbeNdio ivo wanaripua tu
Wakishaweka marangi ndio wanaona washapika biriani
Pia mchele wa basmat upo kwa grade. Mchele utaopika wewe nyumbani kilo elfu 5 au elfu 6 sio sawa na wa hizo restaurant wanaokoteza tu Michele ya kuitwa basmat kumbe hamna kitu
Sawa mkuuIla jamaa kasema biriani hajataja biliani
Hv kwa mfano, mtu amefariki na ana akaunti benki.Duh kifo hiki
Nimechekaa😆😆 nyie nyie😆Yaani kuna siku ilibaki 🤌 niyaage mashindano.
Nikavuliwa nguo zote, nikaveshwa mtandio ili nipate hewa.
Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio mpaka ukiweka chupa ya bia inatikisika.
Process yake haifai kueleZea..ni ishu ..kuna docs nyingi usubmit .🙌Hv kwa mfano, mtu amefariki na ana akaunti benki.
Mkienda kuomba na kutoa taarifa mnapata huduma?
Vp mtu anayekufa bila ndugu kujua kama ana akaunti benki fulani?
Pesa zonakuwa zimekwenda na maji au?
Ukienda unapata huduma peleka chet cha kifo tuHv kwa mfano, mtu amefariki na ana akaunti benki.
Mkienda kuomba na kutoa taarifa mnapata huduma?
Vp mtu anayekufa bila ndugu kujua kama ana akaunti benki fulani?
Pesa zonakuwa zimekwenda na maji au?
Achilia mbali vituko mbalimbali kwenye masuala ya pombe, huwa basi tu hatuna jinsiNimechekaa😆😆 nyie nyie😆
Kweli mkuu,,,Biriani ni chakula overrated sana
Dah!Process yake haifai kueleZea..ni ishu ..kuna docs nyingi usubmit .🙌
Okay, sawa.Ukienda unapata huduma peleka chet cha kifo tu
Kawaida iyoOkay, sawa.
Ila lazima uzungushwe au ukute pesa pungufu.
Jamaniiii🙁Kawaida iyo
Kwanza usubmit chet cha maZishi,chet cha kifo, muhtasar wa kikao kujua mrithi ni nan..unashinda mahakamani dadek kurudishqwa kila.mara.Dah!
Nauliza hivo maana huyu jamaa hapa aliyekufa inasemekana mwezi kama mmoja nyuma aliweka kama milioni 90 benki bila kumshirikisha mkewe.
Siku ya msiba rafiki wa marehemu ndio kama kuiambia familia yake.
Wala hakuugua.Kwanza usubmit chet cha maZishi,chet cha kifo, muhtasar wa kikao kujua mrithi ni nan..unashinda mahakamani dadek kurudishqwa kila.mara.
Vip aliugua?hizo docs akikosa hata 1 imekula kwake
Sisi kwenye mirathi ya mzee wetu mahakama na watu wa bank walikuwa m10Jamaniiii🙁
Walikula 10M?Sisi kwenye mirathi ya mzee wetu mahakama na watu wa bank walikuwa m10
Ndio mama yetu hajasoma sana sasa yeye ana sahin tu sasa siku akawasikia wanaongelea hiyo hela hela ilikuwa nyingi ila kwenyw account mama alingizia m7 tu hiyo nyingne waligawana na baada ya kufwatilia ni kweli kaka yetu mkubwa akasema potezeeniWalikula 10M?