Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Unyago ni kama mapishi, kama hujui kupika, utapika matap tap, na mumeo atakula kwa sababu ananjaa, au hajawai kuonja chakula kitam.
Danger: Siku mume akionja chakula kitam, hapo atajua mkewe hajui kupika, na ataanza kusaka chakula kitam.
Dada mmoja mrembo, mzuri wa kuvutia, kaibiwa mume na msichana mwenye sura kama ya...... ambae hajui kuvaa wala kujiremba............. dada anajiuliza mumewe anafuata nini kwa kinyago kama kile!!!! Na sasa analia............mwenzie kashakuwa mboga saba sasa.