Mapingamizi ya Musiba kwenye kesi yake dhidi ya Membe, yatupwa!

Usidhani yeye ni mjinga, anajua fika mahakama hiziko huru, na hilo halijaanza leo bali ni toka enzi yeye alipokuwa madarakani. Hata hawa wanaosema mahakama ziko huru sasa, sio kwamba hawajui haziko huru, lakini hawawezi kusema haziko huru wakati wao ndio wanaozifanya zisiwe huru.







Bila shaka hata enzi zake hazikuwa huru so awe mpole
 
Hiyo mistari miwili ya mwisho katika ujumbe wake inamfanya aonekane..., acha nhifadhi niliyokusudia kuyaandika.

Nadhani asiwe mtu wa kutumia maneno mengi katika kuwasilisha anayokusudia kuyaeleza.
 
Musiba anategemea hisani ya God Father ambaye amekuwa akimtumikia kupata mradi wake.
 
Amenifurahisha na kunistaajabisha hapo kwenye ,, uhuru wa Mahakama” I mean Membe waache wengine waongee lkn siyo wewe, ulikuwa Waziri/Naibu kwa miaka 10 Wizara ya Mambo ya nje, je hiyo Mahakama haikuwa huru hadi ushangilie uhuru wake leo hii?
Yeshapita hayo wala hayamuhusu sasahivi wacha apambane na hichi kikaragosi cha Meko aka Musiba
 
Saudia imewahukumu adhabu ya Kifo watu kadhaa iliyowatuma kumuua Mwandishi nguli wa habari Kashoggi
 
Back
Top Bottom