Mapinduzi yanayo dhalilisha utu na kutia simanzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi yanayo dhalilisha utu na kutia simanzi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohammed Shossi, Jun 16, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nimeangalia hizi video clips za mapinduzi ya Zanzibar nimebaki na maswali yasiyo na majibu. Kweli inatisha sana na kibaya zaidi inaondoa utu sidhani kama mtu mwenye akili anaweza kushabikia mapinduzi kama haya! Mapinduzi ya kuua raia na kuwaacha masultani wakikimbia. Kuanzia leo nitamlaani yeyetoe anaesema "mapinduzi daima" nitamlaani anaeyatukuza mapinduzi ya Jan 12. Kilichofanyika si mapinduzi ni unyama dhidi ya binaadamu. Who was behind this massacre?Kama zilivyo hizi video hazina audio sina maneno mengi ya kusema nawaombea wote waliokufa kwenye mapinduzi yale pumziko jema na kuwaombea wale wote waliofikwa na msiba kutokana na mapinduzi yale subra na InshaAllah Mungu ndie hakimu wa kweli watapata malipo yaliyo bora zaidi.


  YouTube - ‪Arab Massacre in Zanzibar‬‏

  YouTube - ‪Zanzibar Revolution 1964‬‏
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Wenye damu za sultan upati tabu kuwatambuwa. haya ndio mabaki ya sultani.
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sure mkuu1
  vipi kitambo sana ulipata kibano nini/
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu unamahanisha MS ndio mabaki ya sultan?
   
 5. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Weka na clips za biashara ya utumwa...au kupasuliwa kwa mama mwafrika mwenye mimba kutoka juu ya mnazi ka moja ya entertainment ya mwarabu na familia yake,...hapo tutakuelewa ...
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilikula kibano cha mwezi mmoja, lakini niko humu kila siku kivingine.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli aisee.... au aweke yale mauaji ya mwembechai na yale ya pemba
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Waliokufa hawakuwa waarabu peke yao mkumbuke vita havikuwa na macho wapo waafrika waliouliwa kwenye kadhia ya mapinduzi binaadam wa kawaida mwenye imani ya dini yeyote hawezi kushabikia mauwaji kwa kusema "mabaki ya sultani" au "wandaamanaji haramu wa arusha" "wahuni wa chadema" "wezi wa nyamongo!" anaeuwa alaaniwe kwa kupoteza nafsi za wenzake ilhal zilitamani kusihi kama inavyotamani nafsi yake.
   
Loading...