MAJANI YA KUNDE
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 213
- 37
Teh teh teh
Wameishiwa hoja imebakia kutishia wanamapinduzi wa kweli, kutumia rushwa na kuwalaghai kwa pesa na ahadi za uongozi U-DC na U-RC. Wao wanapesa sisi tuna Mungu.
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Umenikumbusha ule wimbo wa Chama chetu cha mapinduzi. Siku hizi siusikii kabisa, nadhani ulikufa mara tu baada ya kifo cha Nyerere.CCM NDIYO WAMEIFUKARISHA NCHI
Mchungaji kuhusu uchumi kuwa hoi ilo linafahamika sana,sema tu serikali ya magamba sio sikivu,na awataki kukubali kuwa wameshindwa kufanya kazi,ndio maana kila kukicha mkuu wa kaya anapanda ndege.,hizi zote ni dalili za kushindwa,jana alitia aibu sana alipokuwa nahojiwa na BBC,Watanzania tubadilike tuungane tufanye mapinduzi ya kweli.Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
infinite solution ni serikali iliyopo madarakani istep down iwachie wenyewe mawazo mapya waweze kureform hii nchi ,na possibility yakuindoa serikali madarakani ni PEOPLES POWER=NGUVU YA UMMA tu kwani ndio iliyo iweka madarakani na ndio itakayo itoa madarakani, kwa kweli hii serikali imeprove failure nyingi SANA . ni wakati watanzania wenzangu tuamke usingizini .. kwa tunaoamini mungu yupo kuna adhabu inakuja kwa kutoiwajibisha serikaki yetu pamoja kwa uzembe . hata mungu apendi kabisa sisi kukaa kimya.
Bungeni nako mipasho mitupu..acha Rais afurahi kwa kauli za namna hii.
hivi kwa nini ndege hazipati ajari siku hizi?ningependa kusikia hivi kwenye taarifa ya habari ndege aina ya xxxxx kutoka sa imelipuka na kuteketea,baada ya tank la mafuta kutoboka
siku hiyo ningefunga turubai nje ningenunua kreti za bia na mbuzi wa hitima na kuanza kulia kilio cha furaha.
afadhali hata ya mama SalmaNinarudia tena na tena na tena siyo mchungaji tu yeyote kati watz mil 40 anaweza kuwa rais mzuri kuliko JK. We are fed uPPPPPPPPP!!!!!!!!!!!!!
Watanzania NI MFANO halisi wa Wajinga waliokuwa na almasi akatokea mjanja na kutupa kioo kisha kuichukua Almasi yetu Slaa was the right candidate for Tanzania Hata wazee ndani ya CCM walimkubali wanamjua utendaji wake hatuhitaji mtu wa maneno kila kitu kipo sheria ,taratibu na maazimio ya Tanzania ipi inatakiwa Hawa Kikwete na CCM YAO WAMEFIKA MWISHO.Hakuna yeyete atakae toka huko CCM MSAFI NA MWENYE NIA YA DHATI YA KULETAMAENDELEO.
Mkuu huko mikoa ya kusini wanaimba sana hizo nyimbo kila leo....yaani wale jamaa ni mtaji wa serikali ya magambaUmenikumbusha ule wimbo wa Chama chetu cha mapinduzi. Siku hizi siusikii kabisa, nadhani ulikufa mara tu baada ya kifo cha Nyerere
MYK Tafadhali taratiibu hapo juu... unaongea kama vile labda hujakulia hapa TZ... Ni wazi kabisa Watanzania tuliandaliwa hivo... kutafuniwa/sagiwa kila kitu na kupewa tule, hivo kuvivusha akili ya utafakari mpaka ni Hatari... Majority ya watu (wasomi humo humo) anachukua kitu kama kilivo bila kutaka kuingia ndani na kitafakari kwa kutumia ubongo wake... HOW EVER... hio kitu taratibu (ingawa kwa kasi sasa) inaaanza kuimproove ingawa bado kundi la wakurupukaji bado lipo... Usitegemee kua eti ghafla tu wananchi wabadilike na wachukua hatua papo hapo.... Hivo usiiite kua ni wajinga... na the way hali ilivo tete saizi nchini... tayari change inatokea.... Mfano mzuri ile vurugu ya juzi kati hapo Mwanza - unafikiri ten years ago wangekua na Guts hizo hao wahusika?? (thou in the name of wamachinga...) Hio tayari ni dhahiri kua mambo yamebadilika na sasa Watanzania wamechoka!!
In RED... usitegemee kabisa eti hali tuliyopo Tanzania saizi itarekebishwa tu Chama kingine kikiingia Serkalini... Hapa tulipowekwa na CCM ni pabaya mno and itachukua mda kuweza weka mstari ulonyoooka na kuwafaa Wananchi... na wala Usitegemee eti Mwananchi wa kawaida atanufaika au kuboreshewa maisha yake at a personal level (bado safari ndefu...) - Maana ukweli ni kwamba CCM Wameshindwa... na kuja kwa CDM ni ile tu kubadilisha the name of the system itakayo kuwepo madarakani.... But for change eti ionekane.... Time ndio itasema... Na IMO siamini hilo...
AshaDII you have spoken volumes! Sina cha kuongezea zaidi ya kulaani mfumo wetu. Hatutakiwi kuhoji, kuogopa kufukuzwa kazi ama kushughulikiwa. Kila kitokacho kwa kiongozi ni sahihi na usifikiri tofauti. Lakini Kizazi kijacho si chakwetu kiko tofauti. My uncle 8 years old aliniuliza kwanini kuna watoto wengi wa mitaani? Kwa umri ule mimi nisingaliweza uliza kitu kuogopa kugombezwa.
AshaDII si FaizaFoxy nimeamini leo, I was always confused between the two.
Mabadiliko ya kweli hayaletwi kwenye social networks.
Watu tunaongea tu bila kuchukua hatua, tunalaumu na kukosoa bila kutoa nia mbadala.
Tunahitaji hatua za ziada ili kuyaende mabadiliko.