Mapinduzi yaja Tanzania

Hata wachungaji wako wanao tumia mapepo kuhadaa watu walisema hivyo hivyo, na kibaya walimuambia lowasahukatwi, akakatwa, wakasema tena eti hakuna wa kuzuia mafuriko sasa mafuriko yako baharini. Mkome kumtania Mungu!
 
Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...

Umeandika vizuri kabisa. Nakupa 100%!
 

Imebidi nicheke...
 


Mambo ya siasa huwezi wewe nenda kwenye cowshed kushabikia Chelsick tu, mnakoishi ki-mafiosofioso. Unataka kumpindua nani?
 

Inatia hasira sana hii ccm. Natamani tuungane tuwafundishe adabu
 
Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...

Kutengeneza vyama vya siasa?

Yaani wewe unategemea vyama vya siasa vikukomboe?

Badala ya kujikomboa mwenyewe unasubiri mtu mwingine aje kukukomboa eh?

Utasubiri sana.
 
Haya mawazo yako ndio niko nayo mimi sasa hivi..

Nataka matukio ya ufisadi,unyanyasaji na utekaji yaongezeke hili wabongo wafikie kwenye limit waone sasa basi kisha wachukue hatua stahiki.
 
Jamaa hii comment uliitoa mwaka 2012 lakini mpaka leo hii bado iko relevant.
 
Reactions: Lax
Miaka 14 imepita Hakuna cha mapinduzi wala chochote
Mwaka 2011 ndio vita ya Syria ilianza, Tamati yake ilifika mwaka jana mwezi wa 12,

Waasi walipofika Damascus, Askari wa Assad walivua magwanda na kutupa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…