Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Watakapoamka watakuja counter revolution will be complete. Watch carefully, as long as there is the union the revolution of January 12, 1964 will be defended. Outside the union the revolution will be at its weakest and THERE WILL BE a counter revolution. As long as the people of Zanzibar will not defend their own revolution which toppled the monarch and the puppet government against counter-revolution elements their own future is at stake and the gains of the revolution will be abandoned.
It is for this reason, sisi watu wa bara tumechoka kulinda mapinduzi ambayo Wazanzibari wenyewe hawataki kuyalinda; hatutaki Muungano na vyombo vya Muungano viendelee kulinda mapinduzi wakati serikali ya "Mapinduzi" ya Zanzibar ikifikiria na kutoa hata baraka za kubadili jina lake! Hatutaki polisi na JWTZ la Muungano lilinde mapinduzi ambayo halikuyafanya! Wazanzibar walibnde mapinduzi yao nje ya Muungano!!!
Let Zanzibar Go!!!
a. Serikali ya Zanzibar ilete mswada wa kupiga kura ya maoni ili wananchi wa Zanzibar waamue kutoka kwenye Muungano
b. Waweke threshold ya asilimia 80 ya Wazanzibar watakaokubali kutoka basi Zanzibar itatoka kwenye Muungano ASAP
c. Serikali ya Muungano ijiandae kuondoa vyombo vyake Zanzibar na kufanya mpango wa mpito ili nchi ya Zanzibar iweze kujitegemea na kujiendesha.
Mzee wangu upo mbali na matukio, wazanzibar hawana shida na hayo so called mapinduzi daima.
Hoja ya leo Baraza la wawakilishi, iliyoanzishwa na JUSSA, ni kuhusu kurudishwa Jamuhuri ya watu wa zanzibar na kufuta neno serikali ya mapinduzi ya zanzibar.
Waziri wa sheria ameeleza very clear, kuwa jina hilo linaweza kurudishwa tena bila zengwe, na hakuna mwakilishi aliyebisha wala kunung'unika. hii ina maana gani?
Watakapoamka watakuja counter revolution will be complete. Watch carefully, as long as there is the union the revolution of January 12, 1964 will be defended. Outside the union the revolution will be at its weakest and THERE WILL BE a counter revolution. As long as the people of Zanzibar will not defend their own revolution which toppled the monarch and the puppet government against counter-revolution elements their own future is at stake and the gains of the revolution will be abandoned.
It is for this reason, sisi watu wa bara tumechoka kulinda mapinduzi ambayo Wazanzibari wenyewe hawataki kuyalinda; hatutaki Muungano na vyombo vya Muungano viendelee kulinda mapinduzi wakati serikali ya "Mapinduzi" ya Zanzibar ikifikiria na kutoa hata baraka za kubadili jina lake! Hatutaki polisi na JWTZ la Muungano lilinde mapinduzi ambayo halikuyafanya! Wazanzibar walibnde mapinduzi yao nje ya Muungano!!!
Let Zanzibar Go!!!
a. Serikali ya Zanzibar ilete mswada wa kupiga kura ya maoni ili wananchi wa Zanzibar waamue kutoka kwenye Muungano
b. Waweke threshold ya asilimia 80 ya Wazanzibar watakaokubali kutoka basi Zanzibar itatoka kwenye Muungano ASAP
c. Serikali ya Muungano ijiandae kuondoa vyombo vyake Zanzibar na kufanya mpango wa mpito ili nchi ya Zanzibar iweze kujitegemea na kujiendesha.
Hakuna kitu kibaya kinachotusumbua waafrika kama kutotaka kufikiri kwa kutumia vichwa vyetu. Muungano ndio unaolinda yale mapinduzi...wenye hela na nguvu wataichukua nchi yao the moment muungano utakapoondoka. Ila kama kawaida, aliye na masikio na asikie...maana tunaona fahari kulumbana bila kuleta hoja....as if maneno yamewahi kutengeneza bomu kama la nyuklia.
Tangu mwanzo niliuliza wanataka Zanzibar huru wanataka "Uhuru wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au wanataka uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar?
Wanataka zote kwa pamoja
Kaka nisaidie, hao wazenj ni watu gani?Mapinduzi yanalindwa kwasababu gani?
Muungano (Tanganyika) ndio ulileta mapinduzi??
Kumbe ndio maana wazenj hawataki hayo mapinduzi ya kulindwa na watu wengine zaidi ya wao wenyewe..
Tatizo zinapingana, na hapo ndipo kutafungua ukurasa mwingine.
Kaka nisaidie, hao wazenj ni watu gani?
MKJJ, honestly do you realy care?
Most Tanganyikans are beyond caring for these people, we've carried their bags for much too long!