Nenda Bukinafaso ukajifunze huko,maana wao kila baada ya miezi sita wanapindua.Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya sasa, ya vyombo vya habari binafsi ambavyo vinafika nchi nzima na hata mitandao ya kijamii ambayo inaonekana dunia nzima, mapinduzi ya kijeshi yamebadilikaje au kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Kwenye 'Arab Spring' nakumbuka mitandao ilitumika sana kuangusha serikali lakini hili ni jambo tofauti kidogo na ninaloliongelea lakini lina muelekeo huo huo.
Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga tofauti na yeye akasumbuka sana kupigana tofauti na alivyozoea.
Hili mnalionaje? Tulijadili kiutu uzima.
Acha woga mkuu. Tuongee kisomi. Hakuna mtu anachochea lolote litokee ila ni majadiliano ya mabadiliko ya dunia. Kuna mijadala mingapi inafanyika humu mwisho wa siku watu wanajifunza na kuwa na uelewa mpana wa mambo.Nenda Bukinafaso ukajifunze huko,maana wao kila baada ya miezi sita wanapindua.
Hata jana walipindua ....
Usituingize kwenye uhaini sisi.
Hapo la maana ni lipi ,hoja yakitoto sanaAcha woga mkuu. Tuongee kisomi. Hakuna mtu anachochea lolote litokee ila ni majadiliano ya mabadiliko ya dunia. Kuna mijadala mingapi inafanyika humu mwisho wa siku watu wanajifunza na kuwa na uelewa mpana wa mambo.
Donti tiray ati homu blazaHii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya sasa, ya vyombo vya habari binafsi ambavyo vinafika nchi nzima na hata mitandao ya kijamii ambayo inaonekana dunia nzima, mapinduzi ya kijeshi yamebadilikaje au kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Kwenye 'Arab Spring' nakumbuka mitandao ilitumika sana kuangusha serikali lakini hili ni jambo tofauti kidogo na ninaloliongelea lakini lina muelekeo huo huo.
Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga tofauti na yeye akasumbuka sana kupigana tofauti na alivyozoea.
Hili mnalionaje? Tulijadili kiutu uzima.
Mugabe walimpindua wakasema tumemuweka sehemu salama .....walipoulizw mbona vikosi vinanguka hapa na pale wakasema tunaendeleza usalama wa Nchi.Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya sasa, ya vyombo vya habari binafsi ambavyo vinafika nchi nzima na hata mitandao ya kijamii ambayo inaonekana dunia nzima, mapinduzi ya kijeshi yamebadilikaje au kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Kwenye 'Arab Spring' nakumbuka mitandao ilitumika sana kuangusha serikali lakini hili ni jambo tofauti kidogo na ninaloliongelea lakini lina muelekeo huo huo.
Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga tofauti na yeye akasumbuka sana kupigana tofauti na alivyozoea.
Hili mnalionaje? Tulijadili kiutu uzima.
Ni kweli. Yale mabadiliko yalifanyika tofauti sana na ni vizuri umeliongelea hili maana nilishasahau.Mugabe walimpindua wakasema tumemuweka sehemu salama .....walipoulizw mbona vikosi vinanguka hapa na pale wakasema tunaendeleza usalama wa Nchi.
Ikawa ndio nitolee...Migabe hakumalizs Mwaka tukamzika.
Unazungumzia mapinduzi kisa tozo au kuna kingine...tuanzie hapoSijaelewa. Hiyo ni mistari ya Roma au na inaingiana vipi na mada hii?
Kuna sehemu nimeongelea tozo hapo? Mada yangu inajielezea vizuri tu ni wewe unataka kuiharibu kwa makusudi yako.Unazungumzia mapinduzi kisa tozo au kuna kingine...tuanzie hapo
unazungumzia mapinduzi unajua gharama zake au shibe inafanya usichunge mdomoKuna sehemu nimeongelea tozo hapo? Mada yangu inajielezea vizuri tu ni wewe unataka kuiharibu kwa makusudi yako.
Kama una hamu sana ya kuongelea tozo kwa nini usianzishe mjadala wako badala ya kuulazimisha sehemu isiyohusika?
Tusubiri kupinduliwa kwa Mamadou Doumbia wa Guinea mlugamluga muoga sana na mashobo kama yoteHii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya sasa, ya vyombo vya habari binafsi ambavyo vinafika nchi nzima na hata mitandao ya kijamii ambayo inaonekana dunia nzima, mapinduzi ya kijeshi yamebadilikaje au kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Kwenye 'Arab Spring' nakumbuka mitandao ilitumika sana kuangusha serikali lakini hili ni jambo tofauti kidogo na ninaloliongelea lakini lina muelekeo huo huo.
Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga tofauti na yeye akasumbuka sana kupigana tofauti na alivyozoea.
Hili mnalionaje? Tulijadili kiutu uzima.
Kama una shida na tozo, zipeleke kwenye mamlaka husika watakusikiliza malalamiko yako.unazungumzia mapinduzi unajua gharama zake au shibe inafanya usichunge mdomo
Tulia uandike vizuri basi bro!Mugabe walimpindua wakasema tumemuweka sehemu salama .....walipoulizw mbona vikosi vinanguka hapa na pale wakasema tunaendeleza usalama wa Nchi.
Ikawa ndio nitolee...Migabe hakumalizs Mwaka tukamzika.
Mmeanza kufukua jamani si tulisema tusonge mbele ya nyuma tuyaache?πππππKuna nafasi ya mbunge teuliwa inakuwa wazi soon, huyu jamaa tunampeleka huko ubalozini kisha tumuhoji kwanini alitaka kumsigina mama akiwa Tanga?