Mapinduzi ya filamu Tz

Mapinduzi ya filamu Tz

TBO

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
194
Reaction score
87
Habari zenu wadau , Mimi ni kijana mwenye ndoto za kufanya mapinduzi katika sector ya film Tz ,Nina imani kwa script zangu nilizo kuwa nazo na uwezo wangu wa kuigiza nita weza kufanya vitu adimu ambavyo havija wahi kutokea katika sector ya filamu Tanzania , so nina omba maoni yako kuhusu vitu unavyo ona vina miss katika filamu zetu za bongo...
 
Tunavyo-miss ni:
  • Tight script: Nyingi kama sio zote ni za hovyo! Script ndio msingi wa filamu! UKishakuwa na script mbovu hata uchukue A-List Actors kutoka Hollywood, bado filamu itakuwa mbovu tu!
  • Directors: Tatizo la pili ni Waongoza filamu... hatuna waongoza filamu wazuri! Hata ukiwa na tight script, kama hauna mwongozaji filamu mzuri basi filamu husika inaweza kuwa na mapungufu kadhaa ya uhalisia!

Hapo juu ndio matatizo ya msingi! Achana na watu watakaotaja technical issues... technical issues haziifanyi filamu kutovutia bali inaifanya kutokuwa bora kiufundi! Kumbuka enzi za watu tunaangalia filamu kuptia VHS! Unakuta VHS inanasa, unakasirika ile mbaya... unaitoa unaikung'uta kama gunia la mahindi na wakati mwingine kutoa film mzima na kuiweka upya lakini ukishairudishia, bado ladha ya First Blood ipo pale pale... hutanielewa kama utakuwa ni early 20's and below otherwise utanielewa namaanisha nini!
 
Story za kawaida.. Jaribu kuja na story mpya inayovutia labda utaweza kuteka watu. Kwa mfano niliangalia muvi moja ya kizungu inaitwa Water World, ki ukweli nilishangaa idea ya movi nzima nikasema hakuna mtu anaeweza bongo kufikiria hivi. Chukulia mfano mwingine wa kawaida kabisa movi kama ya Annie , aliyoigiza jammie fox inastory nzuri na niyakawaida. Watanzania tumekosa creativity tu.
 
Back
Top Bottom