Mapinduzi nchini Mali nani alaumiwe?

Mapinduzi nchini Mali nani alaumiwe?

Samaritan

New Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Afrika imegubikwa na matukio ya mapinduzi kwa muda mrefu sasa

Toka miaka ya 1950 mpaka 2020 zaidi ya mapinduzi 206 yameshafanyika

Tatizo liko wapi? Mapinduzi hayo yote viongozi wengine hawajifunzi ?

Mapinduzi yanapotokea jumuiya za kimataifa zinalaani wakati wananchi wa nchi husika wakiwa wanaandamana kudai haki hawapati msaada badala yake mshahara wao ni risasi na malungu ya polisi.

Je nani wa kuwasaidia wananchi?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilaumiwe
 
Tawala za kiimla zinazodhulumu watu haki zao ndio chanzo cha matatizo yanayoisibu bara hili toka uhuru.

Waafrika tumerithi mfumo wa utawala wa kitemi uliyokuwepo toka enzi na enzi ambao msingi wake ni unyanyasaji kwa watawaliwa na ndio tunauendeleza hadi leo.
 
kati ya hayo mapinduzi yaliyotekea, ni mapinduzi yasiyozidi 10 ndio yalikuwa yakirenga ukombozi kwa wananchi.yaliyobaki,

tamaa za madaraka na msukumo kutoka kwa mataifa yenye nia ovu na nchi husika.

kama africa bado tunatakiwa kufanya tathmini tunapokwama, mataifa mengi bado yana kansa ya ukabila, koo, na hata kanda hii nayo imekuwa tatizo kubwa kuliko umasikini unaotukamua.
 
Kama ule wa mwenyekit mbowe wakufukuza wabunge bila kuwahoji na kuwaambia watu wasitake kuonja sum kwa kuilamba udikteta Africa umekua mzigo kwetu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
kati ya hayo mapinduzi yaliyotekea, ni mapinduzi yasiyozidi 10 ndio yalikuwa yakirenga ukombozi kwa wananchi.yaliyobaki,

tamaa za madaraka na msukumo kutoka kwa mataifa yenye nia ovu na nchi husika.

kama africa bado tunatakiwa kufanya tathmini tunapokwama, mataifa mengi bado yana kansa ya ukabila, koo, na hata kanda hii nayo imekuwa tatizo kubwa kuliko umasikini unaotukamua.
Umenena vema
 
Watawala wa hapa chattle wanajipa matumaini kuwa kile kilichotokea Mali hakiwezi kutokea kabisa kwao
 
Afrika imegubikwa na matukio ya mapinduzi kwa muda mrefu sasa

Toka miaka ya 1950 mpaka 2020 zaidi ya mapinduzi 206 yameshafanyika

Tatizo liko wapi? Mapinduzi hayo yote viongozi wengine hawajifunzi ?

Mapinduzi yanapotokea jumuiya za kimataifa zinalaani wakati wananchi wa nchi husika wakiwa wanaandamana kudai haki hawapati msaada badala yake mshahara wao ni risasi na malungu ya polisi.

Je nani wa kuwasaidia wananchi?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mali nao wamezoeapindua pindua kila mara... Afrika ndivyo inavyokuwa hapa wananchi watashangilia uongozi umeondoka baada ya mwaka wanaanza kulia tena. Same story ya Zimbabwe, same story Sudan.
Africa wanaofanya mapinduzi wana lengo la kula pia mara nyingi.
 
Afrika imegubikwa na matukio ya mapinduzi kwa muda mrefu sasa

Toka miaka ya 1950 mpaka 2020 zaidi ya mapinduzi 206 yameshafanyika

Tatizo liko wapi? Mapinduzi hayo yote viongozi wengine hawajifunzi ?

Mapinduzi yanapotokea jumuiya za kimataifa zinalaani wakati wananchi wa nchi husika wakiwa wanaandamana kudai haki hawapati msaada badala yake mshahara wao ni risasi na malungu ya polisi.

Je nani wa kuwasaidia wananchi?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ufaransa inahusika
 
Tawala za kiimla zinazodhulumu watu haki zao ndio chanzo cha matatizo yanayoisibu bara hili toka uhuru
Sometimes ni uroho na urafi wa wanaopindua. Unakuta Askari mkubwa ana bfursa ya kumshauri ama kumuongoza rais lakini ana opt kumuondoa
 
Back
Top Bottom