Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,744 Reaction score 55,434 Jan 7, 2023 #261 Mshana Jr said: Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga[emoji23] Click to expand... Mnyama anaelekea Dubai wao wanasalia Avic
Mshana Jr said: Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga[emoji23] Click to expand... Mnyama anaelekea Dubai wao wanasalia Avic
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Jan 7, 2023 #262 BRN said: Lakini mmetolewa Click to expand... Dunduka kwa kujifariji sasa..!!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Jan 7, 2023 #263 Tui said: Utopolo kwa kujifariji.Tatizo hawawezi hata kuandika maneno yakaeleweka."Tumetotewa"ndio nini?Au presha ya feri.Kwani mgomo si bado mtaruhusiwa kupanda msijali. Click to expand... Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua kuandika
Tui said: Utopolo kwa kujifariji.Tatizo hawawezi hata kuandika maneno yakaeleweka."Tumetotewa"ndio nini?Au presha ya feri.Kwani mgomo si bado mtaruhusiwa kupanda msijali. Click to expand... Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua kuandika
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,445 Reaction score 138,222 Jan 7, 2023 #264 Mtoto halali na hela said: No Mayele no problem Click to expand... No Chama; no goal, no assist! 😃
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,019 Jan 7, 2023 #265 Scars said: Walikujaje? Au walizamia? Click to expand... Walimpanda yule chezaji lao aitwae kambale si unajua kwenye maji anatereeeeeza
Scars said: Walikujaje? Au walizamia? Click to expand... Walimpanda yule chezaji lao aitwae kambale si unajua kwenye maji anatereeeeeza
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,771 Jan 7, 2023 #266 Ngalikihinja said: Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua Click to expand... Rudia kusoma wewe Utopolo. Wacha kuweka maneno yako yasiyoleta maana. Hujui matumizi ya nukta?
Ngalikihinja said: Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua Click to expand... Rudia kusoma wewe Utopolo. Wacha kuweka maneno yako yasiyoleta maana. Hujui matumizi ya nukta?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,946 Reaction score 73,435 Jan 7, 2023 #267 nguvu said: Kwani mgomo unaendelea? Click to expand... Nadhani hawewezi kugoma kwa sbb hata nauli ya ndege hawana
nguvu said: Kwani mgomo unaendelea? Click to expand... Nadhani hawewezi kugoma kwa sbb hata nauli ya ndege hawana